Posts

Showing posts from 2012

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMAPILI DEC,30

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

HAPPY BIRTHDAY MDAU AMIRI MWOME

Image
Friendship is about bringing out the positive when everything seems negative.....being accepted for who you are being able to pick up right where you left off...sharing, talking, and laughing...Friendship is about us, and for that I'm grateful. And I hope you have the best birthday ever, friend! HAPP Y BIRTHDAY BRO MWOME

WAITING 2013

Image

MAKAMUZI YA X-MASS KATIKA KIWANJA CHA DAR LIVE

Image
 Chezea Diamond wewe! Watu weweee: Kila mmoja akiwa na shauku ya kumpa mkono Diamond. ...Leka dutigite: Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na Diamond wakiwapagawisha mashabiki kwa wimbo wa Leka dutigite. Ommy Dimpoz 'on da stage'! Dimpoz na wasanii wake wakiwasha moto kuwakumbuka wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki. ...Dimpooo...zzz: Umati ukipiga yowe wakati Ommy Dimpoz akifanya kufuru stejini. ...Platnumz hewani: Diamond akiwa amebebwa juu na madansa wake. ...Nataka kulewa, zikinipanda nimwage radhi. ...Nataka kulewa, lewa...: Diamond akiimba wimbo wake wa Nataka Kulewa. ...Nature ua... Nature ua... Nature ua..: Ndivyo Juma Nature alivyokuwa akienda sambamba kwa staili hiyo na mashabiki. ...Wanaume Halisi wakiendeleza libeneke ndani ya Dar Live. Mtangazaji wa MTV Base na Choice FM, Vanessa Mdee akichombezana na Ommy Dimpoz wakati wakiimba wimbo wao wa Me & You stejini . KR Muller akigonga mvinyo ndani ya mask. ......