WANACHAMA WA SSPRA WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA,JIJINI MWANZA
Wanachama wa SSPRA leo tarehe 15/12/2012 wametembelea na kutoa misaada ya chakula na malazi kwa ajili ya kuwasaidia watoto walioko kituo cha STAREHE CHILDREN'S HOME kilichopo eneo la Nyegezi jijini Mwanza, wanachama wa SSPRA wametoa msaada huo kwa watoto yatima katika kuelekea sherehe za mwisho wa mwaka X-MASS na mwaka mpya ikiwa ni mojawapo ya majukumu ya kuisaidia jamii inayotuzunguka (CORPORATE SOCIAL RESPONSIBILITY).
Kituo hiki kinahudumia watoto yatima,waliotelekezwa kuanzia umri wa miaka 0-5, watoto hawa huletwa kituoni hapo kutoka Ustawi wa jamii na sio kwamba wao ndio huwatafuta watoto hao. BW.GETSON EZEKIEL ambaye ni Daktari wa watoto hao walioko kituoni hapo.
Baadhi ya watoto walioko kituoni hapo wakipokea msaada kutoka SSPRA |
Joseph Michael akimkabidhi Dr. Ezekiel kadi ya X-MASS na Mwaka Mpya. |
Watoto waliopo kituoni hapo wa |
Muddy akikabidhi naye zawadi yake kwa mtoto |
wanachama wakifika kituoni hapo muda wa asubuhi. |
wanachama wakifanya usafi......... |
Aman Mbwaga akifanya naye usafiiiiii |
wanachama wakiwa katika mkutano wa pamoja na viongozi wa kituo |
Kutoka kushoto ni mwenyeketi wa SSPRA Bw.Ngonyani Christopher, Dr Getson Ezekiel,na Afsa Ustawi wa jamii kituoni hapo. |
Waachama wakibadilishana mawazo |
PR 3 Members wa SSPRA |
Comments
Post a Comment