Posts

Showing posts from October, 2012

READ READ THIS ARTICLE ABOUT DETERMINATION OF MALAWI,TANZANIA DISPUTE OVER LAKE NYASA

The determination of Malawi, Tanzania conflict over Lake Nyasa can be Logical other than Legal. The border claim put forward by the two neighbors (Malawi and Tanzania) is not a new phenomenon; it rather has a very interesting history from the regimes of the founders of the two countries ( Kamuzu Banda and Julius K. Nyerere ) who respectively were the first presidents of the two countries. The issue of boundary confusion was triggered in 1967 and possibly it is only the diplomatic ability of these good neighbors that enabled it to endure till today. Can this give hope to have a fruitful end for both parties, should they choose to take it as it has always been? Going through the past happenings over the boundary can even cause you into headache, the issue being the controversy on what exact source of reference, from the Agreement of the Berlin conference of 1884-1885 to the Anglo-Germany treaty of 1890 also known as the Helgoland treaty and perhaps any other kind of agreement ...

JUA CALI AFUNIKA USIKU WA BORNFIRE CHUO CHA SAUT

Image
Usiku wa kuamkia leo Msanii BABA YAO..... JUA CALI aka MGENGE kutoka pande za NAII-Kenya  amewarusha maelfu ya wanafunzi wa SAUT pamoja na wananchi wanaokizunguka chuo hiki waliojitokeza katika viwanja vya Raila Odinga katika lile tamasha linalojulikana kama Bornfire, kwa ajili ya kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza na wale wanafunzi wa Masters. Msanii JUA CALI alipanda jukwaani muda wa saa 12:56 usiku huku mashabiki wake wakiwa wanamsubilia kwa hamu kubwa,japokuwa tamasha hili liliambatana na manyunyu ya mvua hapa na pale lakini mashabiki wake hawakukata tamaaa. Jua kali aliwapangaisha mashabiki wake kwa muda kama wa dakika 35 huku watu bado wakiwa na hamu kubwa ya kuendelea  kumsikiliza, vibao vikali kama "Kwaheri","Bidii","Ngeli ya genge" "manzi amejibeba","Niimbie"aliyoimba na mwanadada Enika viliwakuna sana mashabiki wake huku DJ wake akionyesha ufundi wa kucheza na turntable. moto huu ndo unawakili...

HEINEKEN ILIVYOSABABISHA UZINDUZI WA SKY FALL YA JAMES BOND.

Image

NEWLY RELEASED TRACK: NATAKA KULEWA (NIACHE) DIAMOND PLATNUMZ

Image
  SOURCE :http://www.thisisdiamond.com/

CPWAAA IN ROCK CITY......AT CHARCOAL RIBS

Image

STAY TUNE MAJANI BEATZ COMING SOON

Image

NSSF yasema “Hatupingi fao la kujitoa”

  Katika Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mahesabu za Mashirika ya UMMA (POAC) mnamo tarehe 24/10/2012 Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt. Ramadhani K. Dau akijibu maswali ya Waheshimiwa Wabunge alitoa maelezo ya msingi kuhusu umuhimu na dhana kamili ya Hifadhi ya Jamii. Katika maelezo hayo alifafanua kuhusu madhara ya kujitoa kwenye mfuko kwa mwanachama aliye na uwezo wa kuendelea na kazi, na alisisitiza kuwa madhara ni kwa Mwanachama zaidi kuliko kwa Mfuko. Dkt.Dau alifafanua kuwa uamuzi wa kusitisha kwa Mafao ya kujitoa hauna uhusiano wowote na hali ya sasa ya kifedha ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Dkt. Dau aliieleza Kamati ya Bunge kuwa hali ya kifedha ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii hupimwa kwa kufanya Actuarial Valuation. Kwa upande wa NSSF zoezi hilo limefanywa mwaka 2009 na Kampuni kutoka Canada iliyoteuliwa na ILO na mwaka 2010 na Kampuni kutoka Afrika Kusini iliyoteuliwa na SSRA. Matokeo yameonyesha kuwa NSSF HAINA MATATIZO YA KIFEDHA kwa sababu ina uwezo wa kuwalipa...

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

Taasisi mpya ya binafsi inayotoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeanzishwa, kwa  wale ambao ndugu zao wamekosa mikopo kupitia taasisi ya serikali ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu HESLB wanaweza kuwashauri waombe huko. taasisi hiyo inaitwa HLSSF ( Higher Learning Students Supporting Fund)  kwa maelezo zaodi tembelea tovuti hii hapa http://www.hlssf.org/   Taasisi hii inatoa huduma zingine kama ifuatavyo Inatoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa ajili ya kuwasaidia kulipa karo,kununua chakula,kulipia gharama za malazi,kununua vitabu na kufanya utafiti pamoja na mafunzo kwa vitendo. Inawatafutia scholarship za kusoma ndani na nje ya nchi wanafunzi wote ambao wanasifa za ufaulu stahili kadiri ya masharti ya wafadhili. Inawatafutia kazi wahitimu wote wa vyuo vikuu.Hii inafanywa kwa kuwakutanisha wahitimu na waajiri kadiri ya fani zao. Inatoa fursa ya kuwasaidia wahitimu wa vyuo na vijana wengineo wanaotaka kujiajiri katika fani za kiso...

PASSWORD 25 ZILIZOTOMIKA SANA 2012

Miaka ya sasa suala la kuingiliwa mawasiliano binafsi kwenye mitandao limekuwa likiwaathiri wengi, kiasi kwamba wengi wamejikuta kazi zao za kiofisi zikiingiliwa, siri zao binafsi zikivuja mitaani au pengine kupoteza kabisa akaunti zao za email, na mitandao mingine kutokana na hackers kuzinasa password zao kisha wakazibadili nao watumiaji wakajikuta hawawezi kusaini in kama awali. YAFUATAYO NI MANENO 25 YALIYOTUMIKA KAMA PASSWORD NA WATU WENGI KWA MWAKA 2012 KWA MUJIBU WA WADADISI WA YAHOO. 1. password 2, 123456 3. 12345678 4. abc123 5. qwerty 6. monkey 7. letmein 8. dragon 9. 111111 10. baseball 11. iloveyou 12. trustno1 13. 1234567 14. sunshine 15. master 16. 123123 17. welcome 18. shadow 19. ashley 20. football 21. jesus 22. michael 23. ninja     24. mustang 25. password1   Je wataka kuwa na Password isiyofojika?  Hapa kuna vidokezo: Tumia herufi ya kwanza kwa kila neno la shairi au mstari kutoka katika wimbo. Kwa Mfano, "Hey, I ju...

ALBUM MPYA YA MANSU-LI IKO MTAANI

Image
  Album mpya ya msanii wa Hip Hop nchini Mansu-Li inayoitwa KINA KIREFU iko mtaani sasa ikisambazwa na yeye mwenyewe. Kama wewe ni shabiki wa Mansu-Li na unapenda kazi za wasanii wa hip hop hapa bongo basi piga namba hii +255 784 351667 ili kuipata Album hii mpya yenye mawe makali sana.

HIVI NDIVYO HALI INAVYOENDELEA KATIKA BONANZA LA PR

Image
Bado bonanza linaendelea katika uwanja wa Raila Odinga,sasa hivi ikiwa PR 3 VETERANI wakiwa uwanjani PR 2,matokeo ya awali ni kwamba PR3 kashinda 4-2,baada ya kuwachapa PR 2 kwa njia ya matuta....so more stories to come,pata hizo picha kuona kinachoendeea uwanjani. MC SAMU WA BONANZA HILI AKIENDELEA KUTOA MAELEKEZO MBALIMBALI. KIKOSI CHA PR 3 PR 3 MAVETERANI WA PR3 WAKIPATA SOMO BAADA YA MAPUMZIKO WADAU WAKIWA WAMEJITOKEZA. WADAU WA PR 3 WAKIWA WAMEPOZ KIGOMAAAA ........... MDAU KILLIAN AAAH KAMA MCHINA HV. WADAU WAKIJIANDAA KUVUTA KAMBA PR2 NA PR3 PR 2 WAMESHINDA PR 3 KATIKA UVUTAJI WA KAMBA KIKOSI CHA PR2 PR 2 NA PR3 KATIKA PICHA YA PAMOJA. KIKOSI CHA PR 1 MAVETERANI WA PR3 KIKOSI CHA PR 2 NA PR 3 PR 2 WASHINDI KATIKA UVUTAJI WA KAMBA.

PR COMMEMORATIONS BONANZA AT RAILA ODINGA GROUND

Leo Jumapili tarehe 2/10/2012 litafanyika Public Relations Students Bonanza kwanzia mwaka wa kwanza mpaka wa tatu katika kumkumbuka mwanafunzi Mwenzetu Mohamed Mahmoud (BAPRM 11) aliyefariki katika ajali ya meli ya Skageti huko chumbe Zanzibar, tarehe 18/7/2012. So wanafunzi wote mnakaribishwa sana katika Bonanza hili mahususi kabisa katika kumkumbuka mwanafunzi mwenzetu na kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza wanaosomea shahada ya mahusiano ya Umma na Masoko,katika familia kubwa kabisa ya PR......MWILI MZIMA...LOL. Kutakuwa na michezo mbalimbali kama kukimbiza kuku,mpira wa miguu, kukimbia kwenye magunia,kukimbia na yai likiwa katika kijiko etc Please Tell a Friend to Tell a Friend and a Friend and a Friend.........MORE UPTODATE ZITAKUIJIA.......

SAMAHANI WADAU

Kwanza kabisa napenda kuwapa taarifa wadau wa blog hii kwa kipindi chote nilichokuwa kimya,nimekuwa kimya kwa sababu ya kuwa na majukumu ya kufanya mafunzo kwa vitendo (FIELD ATTACHMENT) pale CRDB Musoma Branch hivyo ikapelekea niwe busy na kazi na kuweza kuwa kimya kwa muda wote huo. Kwa sasa nimesharudi Mwanza na libeneke litaendelea kama kawaida,kwa hiyo tushirikiane wadau kama ilivyokuwa awali.