PR COMMEMORATIONS BONANZA AT RAILA ODINGA GROUND

Leo Jumapili tarehe 2/10/2012 litafanyika Public Relations Students Bonanza kwanzia mwaka wa kwanza mpaka wa tatu katika kumkumbuka mwanafunzi Mwenzetu Mohamed Mahmoud (BAPRM 11) aliyefariki katika ajali ya meli ya Skageti huko chumbe Zanzibar, tarehe 18/7/2012. So wanafunzi wote mnakaribishwa sana katika Bonanza hili mahususi kabisa katika kumkumbuka mwanafunzi mwenzetu na kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza wanaosomea shahada ya mahusiano ya Umma na Masoko,katika familia kubwa kabisa ya PR......MWILI MZIMA...LOL.
Kutakuwa na michezo mbalimbali kama kukimbiza kuku,mpira wa miguu, kukimbia kwenye magunia,kukimbia na yai likiwa katika kijiko etc
Please Tell a Friend to Tell a Friend and a Friend and a Friend.........MORE UPTODATE ZITAKUIJIA.......


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA