PASSWORD 25 ZILIZOTOMIKA SANA 2012

Miaka ya sasa suala la kuingiliwa mawasiliano binafsi kwenye mitandao limekuwa likiwaathiri wengi, kiasi kwamba wengi wamejikuta kazi zao za kiofisi zikiingiliwa, siri zao binafsi zikivuja mitaani au pengine kupoteza kabisa akaunti zao za email, na mitandao mingine kutokana na hackers kuzinasa password zao kisha wakazibadili nao watumiaji wakajikuta hawawezi kusaini in kama awali.


YAFUATAYO NI MANENO 25 YALIYOTUMIKA KAMA PASSWORD NA WATU WENGI KWA MWAKA 2012 KWA MUJIBU WA WADADISI WA YAHOO.


1. password
2, 123456
3. 12345678
4. abc123
5. qwerty
6. monkey
7. letmein

8. dragon
9. 111111
10. baseball
11. iloveyou
12. trustno1
13. 1234567
14. sunshine
15. master
16. 123123
17. welcome
18. shadow
19. ashley
20. football
21. jesus
22. michael
23. ninja    
24. mustang
25. password1 
Je wataka kuwa na Password isiyofojika? 
Hapa kuna vidokezo:
Tumia herufi ya kwanza kwa kila neno la shairi au mstari kutoka katika wimbo. Kwa Mfano, "Hey, I just met you... And this is crazy... But here's my number... So call me maybe" herufi za mwanzo ni "hijmyaticbhmnscmm."  Of course, itakupasa kuimba kichwani kila mara unapotaka ku-log in.
Changanya maneno mawili, mfano "hungrydog" au "choppywater." Na ili kuweka usalama zaidi, tenganisha maneno hayo kwa kuweka alama au namba au kiwakilishi chochote kwenye keyboard ya komputa yako. Hivyo badala ya kuandika "hungrydog," tumia "hungry$d0g."  Ni mifano tu mengine fanya ubunifu ila kumbuka kuweka kumbukumbu kichwani mwako.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA