Bado bonanza linaendelea katika uwanja wa Raila Odinga,sasa hivi ikiwa PR 3 VETERANI wakiwa uwanjani PR 2,matokeo ya awali ni kwamba PR3 kashinda 4-2,baada ya kuwachapa PR 2 kwa njia ya matuta....so more stories to come,pata hizo picha kuona kinachoendeea uwanjani.
 |
| MC SAMU WA BONANZA HILI AKIENDELEA KUTOA MAELEKEZO MBALIMBALI. |
 |
| KIKOSI CHA PR 3 |
 |
| PR 3 |
 |
| MAVETERANI WA PR3 WAKIPATA SOMO BAADA YA MAPUMZIKO |
 |
| WADAU WAKIWA WAMEJITOKEZA. |
 |
| WADAU WA PR 3 WAKIWA WAMEPOZ |
 |
| KIGOMAAAA ........... |
 |
| MDAU KILLIAN AAAH KAMA MCHINA HV. |
 |
| WADAU WAKIJIANDAA KUVUTA KAMBA PR2 NA PR3 |
 |
| PR 2 WAMESHINDA PR 3 KATIKA UVUTAJI WA KAMBA |
 |
| KIKOSI CHA PR2 |
 |
| PR 2 NA PR3 KATIKA PICHA YA PAMOJA. |
 |
| KIKOSI CHA PR 1 |
 |
| KIKOSI CHA PR 2 NA PR 3 |
 |
| PR 2 WASHINDI KATIKA UVUTAJI WA KAMBA. |
Comments
Post a Comment