Posts

MAGAZETI YA LEO IJUMAA, MACHI 20 YAPO HAPA

Image

NAY AMFUMANIA MCHUMBA'KE KITANDANI

Image
KABAANG! Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amedaiwa kumfumania ‘laivu’ mchumba wake Siwema akiwa kitandani na ‘serengeti boy’ wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, Ijumaa lina full stori.   Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. NI MWANZA Kwa mujibu wa chanzo kilichoshuhudia mwanzo mwisho, tukio hilo lilichukua nafasi Machi 15, mwaka huu maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza ambako mrembo huyo alikuwa akiishi, baada ya Nay kupenyezewa ‘ubuyu’ kuwa mrembo huyo usiku wa Machi 14 alionekana akiponda raha ndani ya klabu moja iliyopo katika jengo la Hoteli ya Golden Crest. “Wambeya walimpenyezea habari Nay, kesho yake asubuhi sana akatimba Mwanza kwa ndenge na kumkuta laivu Siwema akiwa na seregeti boy wake kitandani,” kilisema chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake. AMPOKONYA SIMU, AWAPIGA PICHA Chanzo hicho kilizidi kumwaga data kuwa, Nay baada ya kuwakuta wawili hao wakiwa katika hali ya taharuki katika chumba cha

FAHAMU IBARA 28 ZA TUME YA WARIOBA ZILIZOONDOLEWA

Image
Jaji Joseph Sinde Warioba. Katiba Inayopendekezwa  ambayo inatarajiwa kupigiwa kura na wananchi Aprili 30, mwaka huu awali ilikuwa na Ibara 28 ambazo Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba iliona zinafaa kuwemo lakini Bunge la Katiba chini ya Spika Samwel Sitta ikaona hazifai, hivyo kuzifuta. Ibara zilizoondolewa zimeleta malalamiko kwa wananchi kwani zimeonekana zinafaa zikiwemo zinazowataka viongozi wa umma kutopokea zawadi kwa manufaa yao binafsi wala kufungua akaunti ya benki nje ya nchi pasipo sababu maalumu. Leo tunaendelea kuwaletea ibara hizo zilizofutwa ili nawe msomaji uone kama zilifaa kufutwa au la: 18.-(1) Kiongozi wa umma hatashiriki katika kufanya uamuzi wa jambo au shughuli yoyote ambayo ana masilahi nayo yeye binafsi, mwenza wake, mtoto wake, jamaa yake, rafiki au mtu yeyote wa karibu. (2) Kiongozi wa umma hatazungumzia kitu chochote katika Baraza la Mawaziri, Bunge, Kamati au chombo kingine chochote rasmi ambacho ana masilahi nacho ya m

MGOMBEA URAIS UKAWA YUPO CCM, SIRI IMEVUJA

Image
WAKATI   joto likizidi kupanda kuhusu nani atapeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu ujao, siri imevuja kuwa upande wa pili, yaani upinzani unaoundwa na vyama vinavyojinasibu kuwa ni Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) utamsimamisha mgombea wake ambaye kwa sasa ni kada mwenye wafuasi wengi ndani ya CCM, Uwazi Mizengwe linakujuza.   Steven Wassira. Habari za kuaminika kutoka ndani ya kambi ya Ukawa inayoundwa na vyama vya Chadema, Cuf, NCCR-Mageuzi na NLD, zinasema kwa muda mrefu, mgombea huyo amekuwa katika mazungumzo na chama kimoja kikubwa cha upinzani Tanzania Bara na kwamba wameshakubaliana mambo makubwa muhimu ya kuzingatiwa ili kukamilisha mchakato huo. Inadaiwa kuwa awali mazungumzo yalikuwa kati ya Chadema na kada huyo wa CCM ambaye ni miongoni mwa viongozi waliopewa adhabu na kamati kuu (CC) ya chama hicho kwa kosa la kuanza mapema kampeni za kuwania kiti hicho, wakifikia makubaliano kuwa endapo chama chake kitamuengua katika kuwania naf

Windows 10 is around the corner, you will get it for FREE, sign up!

Image
Microsoft  announced  that Windows 10 is launching in 190 countries and 111 languages in a few months from now. But here is a great news for those enthusiastic about it; Microsoft promised that they will offer a free upgrade to Windows 10 for qualified new or existing Windows 7, Windows 8.1 and Windows Phone 8.1 devices that upgrade in the first year!  And even better: once a qualified Windows device is upgraded to Windows 10, they will continue to keep it up to date for the supported lifetime of the device, keeping it more secure, and introducing new features and functionality over time – for no additional charge. Click on the button to  sign up  for it. Read more from their   blogs.windows.com

MTANGAZAJI WA REDIO SALMA DAKOTA AVISHWA PETE, APOTEZA FAHAMU

Image
Mtangazaji wa ITV na redio, Salma Dakota hivi karibuni alipoteza fahamu baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ ya kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, Gharibu Dumba.   Salma Dakota Akionyeshwa pete aliyovishwa. Tukio hilo lilitokea kwenye Hoteli ya Protea iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo alikwenda bila kujua kuwa mtu wake huyo alikuwa na jambo kubwa la kumfanyia. Ilielezwa kuwa, Salma akiwa hana hili wala lile, alishangaa akivishwa pete ya dhahabu yenye kito cha Tanzanite ambayo gharama yake ni takriban shilingi milioni 3. Mtangazaji wa ITV na redio, Salma Dakota akiwa kwenye pozi. Akizungumzia tukio hilo mtangazaji huyo alisema: “Nilipata mshituko kwani sikutarajia na ndiyo maana nikapatwa na hali ile. Namshukuru Mungu kwa hili lililonitokea, ni jambo la heri na Mungu aniongoze katika safari hii ya kuelekea kwenye maisha ya ndoa.”

Taarifa ya ajali nyingine ya basi leo Morogoro

Image
Watu 7 wamefariki na wengine 26 kujeruhiwa baada ya basi la  Msanga Express lililokuwa linatokea  Morogoro  kwenda  Mahenge  kugongana na basi la  Luwinzo lililotokea Njombe kwenda Dar katika eneo la mbuga ya Mikumi. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi ambapo dereva wa basi la Msanga alikuwa akijaribu kulipita lori, basi hilo likagongwa upande wa kulia na kusababisha vifo vya watu sita hapo hapo na mwingine mmoja kufariki  wakati akiwa anakimbizwa kupelekwa Hospitali. Kamanda wa Polisi  Morogoro,   Leonard Paulo  amesema mwili mmoja ndio uliotambulika na miili mingine 6 imehifadhiwa katika Hospitali ya  St. Kizito Mikumi , madereva wa mabasi yote wamejeruhiwa na wanaendelea na matibabu chini ya ulinzi. “ I lipofika hapa mvua ilikuwa inavyesha na kulikuwa na utelezi.. kilichotokea ni kwamba mbele kulikuwa na lori ambalo limetoroka kwenye eneo la tukio, kwa hiyo baada ya kuliona lori alitaka kulipita kwa upande wa  kulia wakati analipita hu

Raia wa Nigeria akamatwa JNIA na kete 100 za cocaine

19 Mar20 RAIA wa Nigeria, Anthony Ifeanyichukwa Okafor (52), amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akidaiwa kumeza kete 100 za dawa za kulevya aina ya cocaine ambazo thamani yake bado haijafahamika. Tukio hilo limetokea takribani siku 22 baada ya raia mwingine wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) kuvunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika uwanja huo. Cole alikamatwa Jumatatu ya Mei 19, mwaka huu saa tisa alasiri akijiandaa kwenda Paris, Ufaransa kwa ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia, akiwa amemeza kete 82 aina ya heroini zilizokuwa zimefungwa kwenye karatasi zinazofanana na ganda la sigara, ambazo si rahisi kuonekana katika mitambo.    Mkuu wa Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa alisema jana kuwa amefika nchini kumfuata rafiki yake wa kike aliyekutana naye Hong Kong, China na baadaye Douala, Cameroon. Nzowa alisema mtuhumiwa huyo alisema rafiki yake huyo wa Tanzania ni mpenzi

VIDEO YA MTOTO WA KIM NA KANYE, NORTH WEST AKIVUTWA PAMOJA NA SANDUKU LA NGUO YAVUTIA WENGI MTANDAONI

Image
  VIDEO iliyowekwa katika mtandao wa Instagram na Khloe Kardashian ya mtoto wa dada yake, Kim Kardashian aitwaye North West imevutia watu wengi. Angalia video hiyo hapo juu. Video hiyo inamuonyesha North mwenye mwaka mmoja na miezi tisa akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo kuelekea uwanja wa ndege. Kim na Kanye wakiwa na mwanao North West. Video hiyo inaonyesha ni jinsi gani mtoto huyo wa kike anavyohusudu sana sanduku hilo kiasi cha kukataa kabisa kuliachia. North ni mtoto pekee wa mastaa Kanye West na Kim Kardashian.

NEW VIDEO: Snoop Dogg Ft Charlie Wilson ‘Peaches N Cream’.

Image
  Snoop Dogg amefanikiwa kukamilisha video ya kwanza kutoka kwenye album yake mpya inayotayarishwa na producer Pharrell Williams. Wimbo unaitwa “Peaches N Cream” na ameshirikishwa mkongwe wa rnb Charlie Wilson na video imetayarishwa na Aramis Israel na Hannah Lux Davis. Album mpya ya Snoop inaitwa BUSH na inatoka May 12.