VIDEO YA MTOTO WA KIM NA KANYE, NORTH WEST AKIVUTWA PAMOJA NA SANDUKU LA NGUO YAVUTIA WENGI MTANDAONI


Angalia video hiyo hapo juu.
Video hiyo inamuonyesha North mwenye mwaka mmoja na miezi tisa akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo kuelekea uwanja wa ndege.
Kim na Kanye wakiwa na mwanao North West.
Video hiyo inaonyesha ni jinsi gani mtoto huyo wa kike anavyohusudu sana sanduku hilo kiasi cha kukataa kabisa kuliachia.
North ni mtoto pekee wa mastaa Kanye West na Kim Kardashian.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA