Posts

SIR ALEX FERGUSON: MIAKA 25 YA UKOCHA NDANI YA MANCHESTER UNITED KWENYE TASWIRA.

Image
NOVEMBER 6 MWAKA HUU SIR ALEX FERGUSON ATATIMIZA MIAKA 25 AKIWA MANAGER WA MANCHESTER UNITED.TANGU 1986 MPAKA LEO HII FERGUSON AMEFANIKIWA KUIPA UNITED JUMLA YA VIKOMBE 35. HILI NDILO KOMBE LA KWANZA FERGUSON KUFANIKIWA KUCHUKUA AKIWA NA UNITED IN 1990: FA Cup (v C. Palace, 3-3 - won replay 1-0)

SEMINA YA SSPRA YAFANA SIKU YA JUMAMOSI

Image
Wanachama wa SSPRA wakisikiliza kwa makini wakati wa semina kutoka kushoto ni Jacqueline Patrick(Katibu msaidizi),Christopher Ngonyani (Katibu), Wilfried Medard (Makamu mwenyekiti) wakiwa katika semina ya kuijenga SSPRA Jacqueline Patrick(Katibu msaidizi) Wilfried Medard (Makamu mwenyekiti) Albert Tibaijuka (Patron) akitoa busara zake kwa wanachama wa SSPRA Ndugu Msafiri Lawrence ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Uhusiano wa Umma na Masoko akitoa husia kwa wanachama wa SSPRA Albert Tibaijuka (Patron) wanachama na viongozi wa SAUT STUDENTS PUBLIC RELATIONS ASSOCIATION (SSPRA) jumamosi ya mwisho wa wiki hii walifanya semina ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza na pia kuwakumbusha wanachama wa zamani juu ya kazi na majukumu ya SSPRA katika hali ya kukijenga na kukiimarisha chama hicho semina iliyofanyika katika moja ya madarasa chuoni hapo ndani ya jengo la Mwanjonde. Aidha akifungua kikao hicho Mwenyekiti wa Kikao hicho ndugu Frank Mashauri alianza kwa kumkaribisha Makamu mwenyekiti w

NAFASI ZA MASOMO AWAMU YA TATU ZATANGAZWA KATIKA BAADHI YA VYUO TANZANIA MWAKA WA MASOMO 2011/2012

Image
Wale wanafunzi wote ambao walikosa nafasi za kujiunga na vyuo katika mchakato mzima wa awamu ya kwanza na awamu ya pili. Lakini sasa baadhi ya vyuo vikuu vikiwemo Teofilo Kisanji University, Stefano Moshi Memorial University College,St. Augustine University of Tanzania, Ruaha University, National Institute of Transport, Iringa University College, Institute of Finance Management, Eskerforde Tanga University, University of Dodoma na Ardhi University vimetangaza baadhi ya nafasi hizo. Nafasi zimeelezewa vema na pia mwaweza tazama wapi unataka kujiunga. Fungua sasa na ufuate maelekezo na kutuma maombi yako bila kuchelewa Tunawatakia mafanikio mema wale wote ambao wataenda kujiunga. Kutazama nafasi mpya za masomo bofya hapa: : www.tzwanavyuo.blogspot. com OR www.tcu.go.tz

SIMBA WAHAMA BAMBA BEACH

Image
VINARA wa ligi kuu soka Tanzania Bara,Simba leo wanatarajiwa kuhamisha kambi yao kutoknaka katika hoteli ya Bamba Beach iliyopo Kigamboni mpaka katikati ya jiji la Dar es Salaam, yote ikiwa ni katika maaandalizi ya pambano lao na mahasimu wao wa jadi nchini Yanga, itakayopigwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

KAZI IMEANZA MISS WORLD

Image
Salha Izrael,Vodacom Miss Tanzania 2011 akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Dunia. Hapa wakiwa Scotland. Hapo wakishiriki michezo ndani ya kambi nchini Uingereza na kwa bahati nzuri leo wametangaza warembo walioweza kuingia katika nusu fainali ya kumsaka mrembo mwenye kipaji na mwenye kipaji cha urembo ambapo kama kawaida yetu Tanzania bwana. Hebu check waliofanikiwa hapa For Sports Group 1: Bonaire, Australia, Bahamas, Canada, Chile, Bolivia Group 2: Czech Republic, Guatemala, Dominican Republic, Denmark, Hungary, Botswana Group 3: Panama, Paraguay, Lithuania, Jamaica, Latvia, Portugal Group 4: Trinidad & Tobago, Puerto Rico, Sweden, Singapore, Uganda, Scotland For Talent Paraguay, Iceland, Latvia, Malta, US Virgin Islands, Lithuania, Barbados, South Africa, Guatemala, Cayman Islands, Venezuela, Canada, Ukraine, Puerto Rico, Kazakhstan, Chile, St Barthelemy, China PR, Czech Republic and Indonesia.

Malkia Elizabeth 11 afungua mkutano wa CHOGM 2011 Perth Australia leo

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya madola wakimsikiliza mtu mwenye asili ya watu wa Australia ( anaeonekana kwenye kingamuzi) akielezea asili ya nchi hiyo leo mjini Perth nchini Australia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola. -28 oktober 2011. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa - Maelezo) Rais Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akimsikiliza Malkia Elizabeth 11 wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuia ya madola leo mjini Perth nchini Australia.

UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA WATISHIA MAISHA YA WANAFUNZI WAISHIO HOSTEL ZA NJE SAUT MWANZA

Image
Matukio ya unyang’anyi yamekuwa yakitokea maeneo ya Chuo cha Mtakatifu Agustino ambapo baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakinyang’anywa vitu vyao vya thamani na hata kujeruhiwa kwa vitu vyenye ncha kali. Siku ya Jumatatu tarehe 24/10/2011 majira ya saa nne za usiku mabinti watatu walivamiwa maeneo ya karibu na hosteli za chuo hicho za Rugambwa, ambapo kati yao wawili waliojulikana kwa jina moja moja ni Getrude na Neema,wanafunzi wa shahada ya masomo ya jamii mwaka wa 3 (BA. in Sociology) na tukio lingine ni la mwanafunzi wa shahada ya mawasiliano ya umma mwaka wa 3 (BA. in Mass Communication) Jaysam Jeremiah lililotokea tarehe 25/10/2011 majira ya saa 5:30 usiku siku moja baada ya kutokea tukio la kwanza ,Jaysam alijeruhiwa mkononi na kutibiwa zahanati ya chuo usiku huo huo. Akizungumzia kuhusu tukio hilo Jaysam amemuomba mkuu wa jeshi la polisi Mkoani Mwanza Kamanda Libelatus Baro kwa kushirikiana na Uongozi wa Chuo cha Mtakatifu Agustino kuimarisha Ulinzi

FROM SAUT: MR. PETER MWIDIMA, PUBLIC RELATIONS OFFICER TO VISIT UNITED STATE OF AMERICA AT THE END OF THIS MONTH.

Image
Deputy Public Affairs Officer, Mr. Roberto Quiroz II (right) presents Mr. Peter Charles Mwidima (left) LIFE’s 70 Years Platinum Anniversary Collection book at the U.S. Embassy in Dar es Salaam during a recent visit. Mr. Peter Charles Mwidima, Assistant Director of Human Resources at St. Augustine University in Mwanza, will visit the United States from October 31 through November 18 to participate in the “Challenges in Higher Education” International Visitors Leadership Program (IVLP). The program will be held in Washington D.C, and the states of Pennsylvania, Utah, Washington, Oregon, and Georgia. St. Augustine hosts over 500 faculty members and 14,000 students, and an American Corner which opened in 2009. Mr. Mwidima earned undergraduate and graduate degrees from the university’s School of Journalism and Mass Communications, and previously worked as an Assistant Lecturer and Public Relations Officer. The program will offer an overview of higher

IT'S INTERCAMPUS BEACH BASH AT MBALAMWEZI

Image

MADA MAUGO KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA LEO CCM KIRUMBA MWANZA

BONDIA Machachari nchini Mada Maugo amesema kuwa atamchapa kipigo cha mbwa mwitu bondia mwenzake kutoka nchini Kenya, Joseph Odhiambo kwenye shindano la raundi nane la ngumi linalotarajiwa kufanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba (leo). Aliyasema hayo jana muda mfupi mara baada ya kufanyika zoezi la kupimwa uzito kwa mabondia wote 12 watakaoshiriki katika pambano la leo. Huku akionekana kujiamini akitumia kauli yake ya uzawa, Maugo alisema kuwa yuko bomba na amewataka watanzania na wapenzi wa ngumi hususani wale wa Kanda ya ziwa wajitokeze leo kwa wingi kuupata uhondo na kushuhudia jinsi ambavyo anamshikisha adabu jirani yake bondia kutoka nchini Kenya Joseph Odhiambo. Naye Joseph Odhiambo kutoka nchini Kenya, licha ya kukiri kumfahamu Mada Maugo katika ulimwengu wa masumbwi na kuwashukuru wakazi wa mikoa ya kanda ya ziwa, alisema kuwa hana hofu juu ya pambano hilo kwa madai kuwa ametoka mbali na anaamini atashinda katika pambano hilo la raundi 8 kwa

OXFORD WALETA VITABU SAUT.

Image
Shirika la machapisho ya vitabu Oxford University Press tawi la Tanzania wanafanya maonyesho yanaoyoendana na mauzo ya vitabu katika chuo cha Mtakatifu Agustino(SAUT) Malimbe, Mwanza, ambapo vitabu vya fani mbalimbali vinapatikana katika maonyesho hayo maeneo ya chuo hicho. Vitabu vya fani ya Uwandishi wa Habari, uwalimu, ujasiriamali, biashara, uchumi, uhandisi, computer,uongozi, masoko na kadhalika vinapatikana sehemu hiyo. Wanafunzi wa fani mbalimbali wakiangalia vitabu kutoka Oxford katika workshop hiyo siku ya jana.

BRAND NEW TRACK KUTOKA KWA "CMB PREZZO" FEAT: ULOPA- 4 SHO 4 SHIZZY

Image
Jackson Makini aka CMB PREZZO kutoka nchini Kenya amedondosha kazi mpya 4 SHO 4 SHIZZY aliyomshirikisha Producer wa ngoma hiyo ULOPA kutoka katika studio ya SAMAWATI ya Jijini Nairobi Kenya,Video ya kazi hii ameshoot na kampuni ya BOOMBA Video inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika vituo vyote vya Tv Africa nzima download kupitia link hii http:// hulkshare.com/ss7iwpcc8dt8