KAZI IMEANZA MISS WORLD


Salha Izrael,Vodacom Miss Tanzania 2011 akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Dunia. Hapa wakiwa Scotland.

Hapo wakishiriki michezo ndani ya kambi nchini Uingereza na kwa bahati nzuri leo wametangaza warembo walioweza kuingia katika nusu fainali ya kumsaka mrembo mwenye kipaji na mwenye kipaji cha urembo ambapo kama kawaida yetu Tanzania bwana.

Hebu check waliofanikiwa hapa

For Sports
Group 1: Bonaire, Australia, Bahamas, Canada, Chile, Bolivia
Group 2: Czech Republic, Guatemala, Dominican Republic, Denmark, Hungary, Botswana
Group 3: Panama, Paraguay, Lithuania, Jamaica, Latvia, Portugal
Group 4: Trinidad & Tobago, Puerto Rico, Sweden, Singapore, Uganda, Scotland

For Talent
Paraguay, Iceland, Latvia, Malta, US Virgin Islands, Lithuania, Barbados, South Africa, Guatemala, Cayman Islands, Venezuela, Canada, Ukraine, Puerto Rico, Kazakhstan, Chile, St Barthelemy, China PR, Czech Republic and Indonesia.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA