Malkia Elizabeth 11 afungua mkutano wa CHOGM 2011 Perth Australia leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya madola wakimsikiliza mtu mwenye asili ya watu wa Australia ( anaeonekana kwenye kingamuzi) akielezea asili ya nchi hiyo leo mjini Perth nchini Australia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola. -28 oktober 2011. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa - Maelezo)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akimsikiliza Malkia Elizabeth 11 wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuia ya madola leo mjini Perth nchini Australia.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA