OXFORD WALETA VITABU SAUT.

Shirika la machapisho ya vitabu Oxford University Press tawi la Tanzania wanafanya maonyesho yanaoyoendana na mauzo ya vitabu katika chuo cha Mtakatifu Agustino(SAUT) Malimbe, Mwanza, ambapo vitabu vya fani mbalimbali vinapatikana katika maonyesho hayo maeneo ya chuo hicho. Vitabu vya fani ya Uwandishi wa Habari, uwalimu, ujasiriamali, biashara, uchumi, uhandisi, computer,uongozi, masoko na kadhalika vinapatikana sehemu hiyo.

Wanafunzi wa fani mbalimbali wakiangalia vitabu kutoka Oxford katika workshop hiyo siku ya jana.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA