Posts

Taarifa za kuwepo chuo feki nchini Tanzania

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania imepokea taarifa kupitia matangazo yanayotolewa na chuo kinachojiita “Japan Bible Institute Graduate School of Theology” kikijitangaza kwamba kinatoa shahada mbalimbali za uzamivu (PhD) kwenye nyanja za dini na jamii. Chuo hiki kinajitangaza kwamba kinawakilisha tawi la taasisi iliyopo nchini Marekani na kwamba makao yake makuu kwa bara la Afrika yapo Dar es Salaam, pamoja na kwamba eneo halisi ofisi zao zilipo haijaelezwa kwenye matangazo yao. Tume inachukua fursa hii kuuarifu umma kwamba chuo hiki hakitambuliki kwa mujibu wa sheria na kwamba wamiliki wa Japan Bible Institute Graduate School of Theology hawana kibali cha kutoa elimu ya chuo kikuu ambayo inatambuliwa hapa nchini. Tume inatoa tahadhari kwa umma kuepuka ulaghai ambao unafanywa na watu katika eneo hili la elimu ya juu na hivyo umma unashauriwa kuchukua tahadhari kwani vyeti watakavyotolewa havitambuliwi na Tume na hivyo haviwezi kutumika hapa nchini. Pia, wamiliki wa chuo hik

Mgomo mwingine wa Madaktari nchini Tanzania waanza rasmi

Image
Rais wa chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Namala Mkopi ametangaza kuanza kwa mgomo wa Madaktari usio  na ukomo, kote nchini Tanzania. Mgomo huo unaishinikiza Serikali kuwafukuza kazi Waziri wa Afya Dkt. Hadji Mponda na Naibu Wake Dkt. Lucy Nkya ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya maazimio ya mkutano wao uliofanyika mwezi Februari, 2012 katika ukumbi wa CPL, Muhimbili na Serikali, ikiongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

MUSIC 4 CHARITY

Image

YATAKAYOJIRI LEO JIJINI MWANZA KATIKA SIKU YA WANAWAKE

Image
MH. VICKY KAMATA KUTOA BURUDANI TAMASHA LA KUONGEZA MAARIFA KUFANYIKA, MARCH 8, SIKU WANAWAKE DUNIANI KATIKA UKUMBI WA GOLD CREST JIJINI MWANZA!! Tamasha la kuongeza maarifa, linatarajiwa kufanyika machi 8 mwaka huu, ikiwa ni siku ya wanawake duniani. Tamasha limeandaliwa na akina dada kutoka kundi la Bedefesera hapa jijini Mwanza na litafanyika kwenye hoteli iliyo na hadhi ya kimataifa ya Gold crest. Unajua utapata maarifa gani siku hiyo? Karibu uungane, kwa kununua kadi yako ya Tsh 30,000/= itakayokuwezesha pia kupata chakula cha jioni na vinywaji laini. Piga simu namba 0683962902 kwa manunuzi ya kadi yako. Bedefesera inaundwa na watangazaji mahiri hapa nchini, akiwemo Rahab fred, Beatrice Rabach, Felister Kulwijira, Deborah Mpagama, Erica Elias na Seda Ilija.  Mwenyekiti wa kikundi hicho Rahab Fred, amesema Tamasha litatoa mafunzo ya Ujasiriamali, Malezi ya Familia, Afya na jinsi ya kuweza kupata mikopo kwa masharti nafuu. Burudani kabambe inatarajiwa kutolew

UJIO MWINGINE WA STEVEN KANUMBA.

Image
Hello Fans this is my new movie in the shops, pls grab your copy now. You need to see me fighting for the people against INJUSTICE.

Fid Q ndani ya Nomadic Wax's 'Internationally Known. Vol-2'. Its HIP HOP once again.

Image
Ni Album nyingine inayowakutanisha wasanii mbali mbali kutoka nchi tofauti duniani. Fid Q ni mmoja wa wasanii wanao-compile Album hii, wengine wakiwa Zero Plastica (Italy), Modenine (Nigeria), Alesh (D.R.C.), Las Krudas (Cuba), Art Melody (Burkina Faso), Vox Sambou (Haiti), Emile YX (South Africa), and Diamondog… Habari kwa hisani ya GongaMx

DJ CLEO NDANI YA BONGO JUMAMOSI HII

Image
Yule mkali wa kwaito kutoka South Africa DJ Cleo anatarajia kupiga show yake hapa siku ya Jumamosi ya tarehe 10 mwezi huu. DJ Cleo anayetamba na hit song kibao kama  Wena ng' Hamba Nawe, Akulalwa , Mind ckuf pamoja na Facebook ambayo ndio imewateka wakazi wengi wa kibongo na dunia kwa ujumla. Wasanii wakibongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Suma Lee , Ommy Dimpozi, Dully Sykes, Chege & Temba , Juma Nature , Tip Top Connection , Linex na wengine kibao. Show hii itafanyika pale Kijitonyama kwenye viwanja vya posta na nimeambiwa kiingilio kitakuwa shilling elfu 10 kwa kichwa, so wale wapenzi wa DJ Cleo na wapenzi wa kwaito hii sio yakukosa.

MAVETERANI WA PR 2-B WAWALAZA PR2-A MAGOLI 3-2

Image
Leo majira ya saa 1 asubuhi katika uwanja wa Raila Odinga uliopo chuo kikuu cha mtakatifu Agustino imepigwa mechi kali kati ya wanafunzi wanaosomea shahada ya Uhusiano wa Umma na Masoko(mkondo A na B,PR2-B kuweza kuibuka na ushindi mnono kabisa wa magoli 3-2 magoli ya PR2-B yamefungwa na wachezaji mahili kabisa katika kulisakata kandanda ambao ni Joel William,Phinias Pius na la 3 limefungwa na Kelvin Ngonyani,ambapo kwa upande wa PR2-A yamefungwa na wachezaji Mohamed Haibe pamoja na Patrick Benard maarufu kama PACHRIBEMBE.   Mchezo huu wa Maveterani kati ya PR2-A na B unadhumuni la kujenga umoja na mshikamano. Wachezaji wa kikosi cha PR2-B wachezaji wa timu ya PR2-A Washangiliaji na wechezaji wa PR-A wakishangaa mchezaji wao kukosa goli Goli linapoingia basi furaha utawala uwanjani Ma

MCHEZA MASUMBWI WA KIKE PENDO NJAU APATA MTOTO

Image
Bondia wa kike Mchezo wa Masumbwi Pendo Njau akiwa amepozi baada ya kujifungua salama  mtoto wake pia  anawashukulu wadau wote kwa kumuombea uzazi salama  na kwamba yupo njiani kurudi katika mchezo huo hivi punde baada ya likizo yake ya uzazi .

NDANI YA BILLZ ON SUNDAY

Image

LILIAN INTERNET ATIMKIA MASHUJAA BENDI

Image
BENDI ya muziki wa dansi ya Mashujaa Musica imezidi  kuibomoa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ baada ya kumyakua  mnenguaji wake mahiri,Lilian Tungaraza maarufu kama ‘Intanet’.  Meneja wa Mashujaa Band Maximilian Luhanga alisema kwamba wamweamua kuwachukua wanamuziki hao ili kuimarisha bendi yao katika idara hizo na tayari wameshasaini mkataba wa kuitumikia bendi hiyo kwa miaka miwili ambao onyesho la utambulisho linatarajiwa kufanyika jumatano ijayo katika ukumbi wa Nyumbani Lounge.  Hii ni mara ya pili kwa Mashujaa kuibomoa Twanga Pepeta ambapo mapema mwaka huu ilimyakua mmoja ya waimbaji mahiri, Charlz Gabriel ‘Chaz Baba’..Kwa hisani ya Mama Pipilo Blog

NIKKI MBISHI NA STEREO SIO LUNDUNO TENA!

Image
Nikki Mbishi Sterio na Nikki Mbishi BabaMalcom   wamejitoa LUNDUNO DA INC.  Nikki mbishi atafunguka kesho kwenye BONGO FLAVA na Fatma Hassan (Dj Fetty)  saa  sita hadi tisa mchana ndani ya CLOUDS FM so fuatilia kujua kulikoni Stereo