MAVETERANI WA PR 2-B WAWALAZA PR2-A MAGOLI 3-2

Leo majira ya saa 1 asubuhi katika uwanja wa Raila Odinga uliopo chuo kikuu cha mtakatifu Agustino imepigwa mechi kali kati ya wanafunzi wanaosomea shahada ya Uhusiano wa Umma na Masoko(mkondo A na B,PR2-B kuweza kuibuka na ushindi mnono kabisa wa magoli 3-2 magoli ya PR2-B yamefungwa na wachezaji mahili kabisa katika kulisakata kandanda ambao ni Joel William,Phinias Pius na la 3 limefungwa na Kelvin Ngonyani,ambapo kwa upande wa PR2-A yamefungwa na wachezaji Mohamed Haibe pamoja na Patrick Benard maarufu kama PACHRIBEMBE. 

 Mchezo huu wa Maveterani kati ya PR2-A na B unadhumuni la kujenga umoja na mshikamano.


















Wachezaji wa kikosi cha PR2-B


















wachezaji wa timu ya PR2-A


















Washangiliaji na wechezaji wa PR-A wakishangaa mchezaji wao kukosa goli




















Goli linapoingia basi furaha utawala uwanjani


















Mashabiki wa PR2-A wakiwa wameloa kabisa baada ya kufungwa goli la 2




















Mashabiki wa PR2-A wakiwa hawana furaha kabisa baada ya kupigwa la 3


















Furaha ikiwa imetawala baada ya mechi,wachezaji pamoja na mashabiki wao wa PR2-B


















Furaha ya ushindi wa PR2-B baada ya mechi


















Furaha ya ushindi...........


















Vijana wakipeana moyo na kucheki namna gani ya kufanya mabadiliko kwa wachezaji walioko ndani

























Nelson alikuwepo pia akikichafua

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA