DJ CLEO NDANI YA BONGO JUMAMOSI HII

Yule mkali wa kwaito kutoka South Africa DJ Cleo anatarajia kupiga show yake hapa siku ya Jumamosi ya tarehe 10 mwezi huu. DJ Cleo anayetamba na hit song kibao kama Wena ng' Hamba Nawe, Akulalwa, Mind ckuf pamoja na Facebook ambayo ndio imewateka wakazi wengi wa kibongo na dunia kwa ujumla. Wasanii wakibongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Suma Lee, Ommy Dimpozi, Dully Sykes, Chege & Temba, Juma Nature, Tip Top Connection, Linex na wengine kibao.

Show hii itafanyika pale Kijitonyama kwenye viwanja vya posta na nimeambiwa kiingilio kitakuwa shilling elfu 10 kwa kichwa, so wale wapenzi wa DJ Cleo na wapenzi wa kwaito hii sio yakukosa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA