MCHEZA MASUMBWI WA KIKE PENDO NJAU APATA MTOTO
Bondia
wa kike Mchezo wa Masumbwi Pendo Njau akiwa amepozi baada ya kujifungua
salama mtoto wake pia anawashukulu wadau wote kwa kumuombea uzazi
salama na kwamba yupo njiani kurudi katika mchezo huo hivi punde baada
ya likizo yake ya uzazi .
Comments
Post a Comment