Posts

VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YA LEO NOVEMBER 7

Image
. . . . . . . . . . . . . . . .

OBAMA ASHINDA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI MAREKANI

Image
Barack Obama ashinda uchaguzi wa urais nchini Marekani. Kura zinaendelea kuhesabiwa lakini mahesabu yalipofikia mpaka sasa, Obama ameshashinda na hakuna uwezekano wo wote kwa mpinzani wake, Mitt Romney, kushinda. ABC News, CNN, Fox News zimethibitisha kwamba President Obama ameshinda na ataendelea kuwa rais kwa miaka minne ijayo. 

TANZIA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA ALOYSIUS BALINA AMEFARIKI DUNIA

Image
Mhashamu Askofu wa kanisa la Katoliki jimbo la Shinyanga mjini Aloysius Balina amefariki dunia leo asubuhi majira ya saa tano katika Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu. Akithibitisha taarifa hizi Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Bugando Dr. Charles Majinge amesema kuwa "Ni kweli Mhashamu Baba Askofu Balina amefariki majira ya saa tano asubuhi ya leo na alikuwa amelazwa hospitalini hapa akitibiwa kutokana na kusumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa kansa" Marehemu Mhashamu Baba Askofu kabla ya kuwa askofu wa jimbo katoliki Shinyanga alikuwa Askofu wa kwanza wa jimbo Katoliki la Geita kabla ya kuhamishiwa jimbo kuu la Shinyanga. Taratibu za mazishi na taarifa zaidi zitatolewa na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania hivyo waumini wanataarifiwa kuwa watulivu kwa kipindi hiki na kumwombea marehemu wakati tukisubiri kutangazwa rasmi. Bishop Aloysius A. Balina alizaliwa june 21st 1945 katika mji wa Isoso, Ntuzu wilayani Bariadi; na kupewa da

MAGAZETI YA LEO 6,NOVEMBER

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

MISS TANZANIA NI BRIGITTE ALFRED 2012.

Image
Miss Tanzania 2012 ni Brigitte Alfred kutoka kitongoji cha Sinza   BRIGITER ALFRED Miss Tanzania 2012  Brigitte Alfred akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi na kuwabwaga washiriki wenzake 29.   Brigitte Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011, Salha Izrael   

DOGO ASLAY AINGIA KWENYE TUZO ZA KORA..

Image
Msanii mdogo anayekimbiza wenzake wadogo wanaokuja hapa Bongo (Aslay), ametajwa kama msanii mpya katika tuzo za Kora mwaka huu (Best Male Newcomer). Wimbo uliompeleka katika tuzo hizo unaitwa "NIWE NAWE", Aslay anapambana na wasanii wengine kutoka nchi  kama Uganda, Burkina Faso, Zambia, Nigeria na Afrique Du Sud. Mbali na Dogo Aslay tunao wasanii wengine wakubwa kutoka Tanzania hapa kama Lady Jay Dee, Saida Karoli na Ali Kiba...

HAPPINESS DANIEL JE KUNYAKUA MISS TANZANIA?

Image
HAPPYNESS DANIEL namba yake ya ushiriki ni 19 anatokea jiji la Mwanza akiwakilisha Kanda ya Ziwa, pia ni mwanafunzi wa chuo cha SAUT kutoka Kozi ya Uhusiano wa Umma na Masoko ,tunampa pongezi kwa kuwa  MISS PERSONALITY TZ, Mungu amsimamie na kuweza kutwaa taji la Miss Tanzania 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA TAASISI SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDERA ARUSHA

Image
 Rais Jakaya Kikwete, akikata utepe kuweka jiwe la Msingi ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Chuo cha Kikuu cha Nelson Mandera, jijini Arusha leo, Novemba 02, 2012. Kushoto kwake ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. DMohammed Gharib Bilal. Kushoto ni Makamu wa Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Burton Mwamila.    Rais Jakaya Kikwete, akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Chuo cha Kikuu cha Nelson Mandera, jijini Arusha leo, Novemba 02, 2012. Kulia kwake ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. DMohammed Gharib Bilal. Kulia ni Makamu wa Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Burton Mwamila. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandera, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Chuo cha  Kikuu cha Nelso

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS

Image

MAGAZETI YA UDAKU NA MICHEZO YA LEO ALHAMIS

Image
. . . . .

JE HII INAUKWELI NDANI YAKE?

Image
Scandal inayohusiana na wimbo mpya wa Diamond ‘Nataka Kulewa’ imeendelea kuchukua sura mpya baada ya H.Baba leo kuuambia mtandao huu kuwa Diamond Platnumz ameanza kutuma watu wake ili waiibe flash yenye wimbo wake (H-baba) ili kusiwepo ushahidi. “Ninayo kwenye flash lakini siwezi kuiacha sehemu yoyote sababu ameshatengeneza mpaka watu waibe hii flash, yaani sasa ni michongo tu ya ajabu ajabu inaendelea sasa hivi,” amesema. ‘Kwasababu kule studio yaani verse zote zimefutika lakini mimi nilikuwa nayo kwenye flash yaani ile demo nilichukua kwaajili ya kusikiliza nyumbani, studio verse zote zimepotea, huwezi amini .” Amesema hana lengo la kuuachia wimbo huo lakini atatoa kipande kifupi ili watu wasikie kile anachokisema. Msanii huyo anasema Diamond alimkuta kwenye studio ya G Records wakifanya wimbo wenye jina hilo (Nataka Kulewa) ambapo Q-Chief aliimba chorus na Diamond kuusifia sana. Msikilize zaidi hapa: Click Hapa Kumsikiliza Kweli hii Tanzania yetu ina kazi