Posts

KATUNI YA LEO INAUKWELI NDANI YAKE?

Image

BUJORA MAKUMBUSHO YA WATU KABILA LA WASUKUMA SASA YATIMIZA MIAKA 100

Image
picha kwa hisani ya gsengo.blogspot.com Hili ni eno ambalo akina mama wa kisukuma walikuwa wakilitumia kama nyenzo ya kusagia nafaka ili kupata unga au kukobolea nafaka, eneo hili limehifadhiwa yapata miaka 100 sasa. Ufugaji wa kale kwa himaya za watemi. Ngoma za asili zilizotumiwa na wanasanaa wa kabila la Wasukuma katika koo mbalimbali ngoma hizi zimehifadhiwa yapata miaka 100 sasa.

JE UMESHAONA TOLEO JIPYA LA SIMU AINA YA iPHONE 6 ITAKAVYOKUWA?HII HAPA

Image
Siku za hivi karibuni kumeweza kuvujishwa kwa baadhi ya picha mitandao ikionesha matengenezo na muonekano halisi wa simu mpya za iPhone 6 hasa baada ya kutoka kwa iphone 5s,, Kwa fununu za chinichini inasemekana kwamba simu hii itazinduliwa rasmi mwakani 2014. mpaka sasa wataalamu mbalimbali wanachora michoro yao binafsi kubuni jinsi APPLE watakavyotengeneza iPHONE6.. inasemekana inaweza ikawa ninyembamba zaidi,yenye uwezo mkubwa wakupiga picha,isiyoingia maji,yenye kuonesha upande wa pili wa simu,isiyokuwa na button hata mmoja zaidi ya zile za kugusa kwenye screen,itakuwa imara sana, labda wataweka button za kuslide kwachini kabisa kuwezesha watumiaji wake kuweza kucheza games vizuri, tizama baadhi ya picha

HIVI NDO ILIVYOKUWA KATIKA USIKU WA SUPER BRAND PROGRAM YA PUBLIC RELATIONS AND MARKETING

Image
Usiku wa kuamkia leo imefanyika sherehe ya ushindi wa timu ya PR3 katika ukumbi wa Passion uliopo eneo la Nyegezi stend. Sherehe hii ilikuwa na dhumuni kuu ya kufurahia zawadi uliyopatikana mwaka jana katika shindano la mpira wa miguu maarufu kama FAWASCO.Sherehe hii ilikuwa nzuri sana kwani iliambatana na ushindi wa kuingia fainali katika mashindano haya ya FAWASCO kwa mwaka huu.Sherehe hii iliwakutanisha wanafunzi wote wa mwaka wa tatu wanaosomea shahada ya Mawasiliano ya umma na masoko hizi ni baadhi ya picha zilizochukulia wakati wa sherehe lakini kuna picha nyingi ambazo hazijawekwa kwa kuwa memory card niliyokuwa naitumia imekorofisha mzigo kutoshushwa wote hapa. 

PR3 USHINDI DAIMA

Image
Habari,ukiwa kama mwana BAPRM unaombwa kuhudhuria uwanjan(R.Odinga) siku ya leo ifikapo saa 3.00pm(mchana) kuungana kwa moyo wa dhati kabisa na timu yetu katika kufanikisha USHINDI thidi ya BBA 3 kama ilivyo desturi yetu...Upatapo ujumbe huu mtaarifu na mwenzako tafadhali.BAPRM USHINDI DAIMA from CRs.

SUZAN IKOMBE NDIYE REDDS MISS ILEMELA 2013

Image
Miss Ilemela 2013 Suzan Ikombe (katikati) akiwa na mshindi wa pili Ester Ngowi (kulia) na Mshindi wa tatu Judith Matulege (kushoto) mara baada ya kutangazwa rasmi na majaji katika ukumbi wa Gold Crest Hotel jijini Mwanza. Washiriki wa Redds Miss Ilemela 2013 wakitoa burudani ya awali... Azonto... Vazi la ufukweni...   Vazi la ufukweni na pozi za wanyange wa kinyang'anyiro cha Redds Miss Ilemela 2013. Hapo jeh!! Pwacha...' Eeeenh.. Majaji kikazi zaidi kung'amua nani stahiki kupitia vigezo. Burudani ilipambwa na mwanadada mwenye sauti tamu Linah. Flowers katikati ya sherehe. Parade la warembo. Top 5.                                                 source: www.gsengo.blogspot.com

MABADILIKO YA URL KATIKA BLOG HII

Baada ya kama  lisaa limoja lijalo blog hii itabadilika address yake iliyokuwa ni nyanja.blogspot.com na kuamia kwenye mfumo wa .com na kuwa www.nyanja255.com so twendelee kuwa pamoja ndugu zangu kwa taarifa zaidi waweza nipigia simu +255 715 019 393 au +255 769 809 393 pia kunitumia email kwenda kelvinnyanja@gmail.com au  nyanja@nyanja255.com

VICHWA VYA MAGAZETI LEO IJUMAA, 10/05 HIVI HAPA:

Image