BUJORA MAKUMBUSHO YA WATU KABILA LA WASUKUMA SASA YATIMIZA MIAKA 100

picha kwa hisani ya gsengo.blogspot.com

Hili ni eno ambalo akina mama wa kisukuma walikuwa wakilitumia kama nyenzo ya kusagia nafaka ili kupata unga au kukobolea nafaka, eneo hili limehifadhiwa yapata miaka 100 sasa.


Ufugaji wa kale kwa himaya za watemi.






Ngoma za asili zilizotumiwa na wanasanaa wa kabila la Wasukuma katika koo mbalimbali ngoma hizi zimehifadhiwa yapata miaka 100 sasa.







Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA