HIVI NDO ILIVYOKUWA KATIKA USIKU WA SUPER BRAND PROGRAM YA PUBLIC RELATIONS AND MARKETING

Usiku wa kuamkia leo imefanyika sherehe ya ushindi wa timu ya PR3 katika ukumbi wa Passion uliopo eneo la Nyegezi stend.

Sherehe hii ilikuwa na dhumuni kuu ya kufurahia zawadi uliyopatikana mwaka jana katika shindano la mpira wa miguu maarufu kama FAWASCO.Sherehe hii ilikuwa nzuri sana kwani iliambatana na ushindi wa kuingia fainali katika mashindano haya ya FAWASCO kwa mwaka huu.Sherehe hii iliwakutanisha wanafunzi wote wa mwaka wa tatu wanaosomea shahada ya Mawasiliano ya umma na masoko

hizi ni baadhi ya picha zilizochukulia wakati wa sherehe lakini kuna picha nyingi ambazo hazijawekwa kwa kuwa memory card niliyokuwa naitumia imekorofisha mzigo kutoshushwa wote hapa. 












Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA