SUZAN IKOMBE NDIYE REDDS MISS ILEMELA 2013

Miss Ilemela 2013 Suzan Ikombe (katikati) akiwa na mshindi wa pili Ester Ngowi (kulia) na Mshindi wa tatu Judith Matulege (kushoto) mara baada ya kutangazwa rasmi na majaji katika ukumbi wa Gold Crest Hotel jijini Mwanza.

Washiriki wa Redds Miss Ilemela 2013 wakitoa burudani ya awali...

Azonto...

Vazi la ufukweni...
 
Vazi la ufukweni na pozi za wanyange wa kinyang'anyiro cha Redds Miss Ilemela 2013.

Hapo jeh!!

Pwacha...'

Eeeenh..

Majaji kikazi zaidi kung'amua nani stahiki kupitia vigezo.

Burudani ilipambwa na mwanadada mwenye sauti tamu Linah.
Flowers katikati ya sherehe.

Parade la warembo.

Top 5.
                                                source:www.gsengo.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA