JE UMESHAONA TOLEO JIPYA LA SIMU AINA YA iPHONE 6 ITAKAVYOKUWA?HII HAPA


Siku za hivi karibuni kumeweza kuvujishwa kwa baadhi ya picha mitandao ikionesha matengenezo na muonekano halisi wa simu mpya za iPhone 6 hasa baada ya kutoka kwa iphone 5s,,

Kwa fununu za chinichini inasemekana kwamba simu hii itazinduliwa rasmi mwakani 2014.

mpaka sasa wataalamu mbalimbali wanachora michoro yao binafsi kubuni jinsi APPLE watakavyotengeneza iPHONE6..
inasemekana inaweza ikawa ninyembamba zaidi,yenye uwezo mkubwa wakupiga picha,isiyoingia maji,yenye kuonesha upande wa pili wa simu,isiyokuwa na button hata mmoja zaidi ya zile za kugusa kwenye screen,itakuwa imara sana, labda wataweka button za kuslide kwachini kabisa kuwezesha watumiaji wake kuweza kucheza games vizuri,
tizama baadhi ya picha








Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA