Posts

MEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR

Image
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa Jana amefanya ziara fundi ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya ukonga Moshibar kilometa 3 kiwango cha changalawe awamu yakwanza. Ikiwa ni utekelezaji wa miradi ya dharura kulingana na uharibifu wa miundo mbinuulitokea baada ya Mvua kubwa. Mradi huo ambao unaghalimu kiasi cha shilingi millioni 90.Pesa za Ujenzi huohizo zinatoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.Pia Barabara hiyo itawekwa Lami kwa awamu ya pili ndani ya mwaka huu kwa kilomita tatu.Picha Zote Na Dj Sek Blog Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wa Kwanza kushoto akiwa na Mhandisi wa Barabara(mwenye shati Jeusi) pamoja na Diwani wa ukonga Elizabeth Mbano(katikati) na wa kwanza Kulia ni Mhandisi wa Manispaa Bwana Muhinda Kassimu wakitazama maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara kutoka ukonga-mazizini mpaka moshi bar. Mhandisi wa Manispaa Bwana Muhinda Kassimu Akielezea namna ambavyo awamu ya kwanza ya ukarabati wa bar

SOMA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULY 23 HAPA

Image

CHANGAMKIA NAFASI ZA KAZI.

SOFTWARE DEVELOPER Apply before: 28 Jul 2014 COMPANY: GNETWORK COMPANY LIMITED Location > Dar Es Salaam POSITION DESCRIPTION: Gnetwork is currently developing a twitter like platform with more unique features and we are currently seeking for a professional Software Developer with proven knowledge and skilled in the following languages: Ruby, Scala, Java, C++, Python and Php. Only Candidates who possess the following skills will be considered: 1) Candidate must have the following skills: Good at problem Solving, Must be Self leaner,Good at dealing with people, Good at naming things. 2) Candidates more knowledgeable with more than two of the above languages will be favored. 3) Please also include in your Cv some of your previous projects you have ever done and completed. You will be needed to submit demos of your previous projects for position consideration during the interviews. 4) Candidates with 2 years and above coding experience in various projects will be consi

ALIKIBA AFUNGUKA LIVE KUHUSU CHANZO CHA BEEF KATI YAKE NA DIAMOND MWANZO MWISHO.

Image
Alikiba aweka wazi chanzo cha beef kati yake na Diamond, akiri yeye ni shabiki wa nyimbo za Diamond Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz. Kupitia kipindi cha Sporah kilichoruka July 22 Clouds TV, Alikiba amefunguka mambo mengi ikiwemo jinsi walivyofahamiana kwa mara ya kwanza, chanzo cha beef yao na wakoje hivi sasa. Kabla hujafahamu undani wa alichokizungumza, hizi ni facts chache alizozitoa Alikiba katika Interview hiyo. 1.Alikiba ndiye alimpa ruhusa Bob Junior amrekodie Diamond nyimbo zilizomtoa kama ‘Kamwambie’ katika studio yao ya Sharobaro! 2.Alikiba alishirikishwa katika wimbo wa Diamond ‘Lala Salama’! 3. Alikiba ni shabiki wa nyimbo za Diamond hadi sasa! 4. Diamond aliomba ashirikishwe katika hit ya Alikiba ‘Single Boy’! 5. Alikiba ana watoto watatu, lakini hana uhusiano tena na mama zao A

PICHA: KANYE NA KIM KARDASHIAN WAKIWA MAPUMZIKONI KATIKA FUKWE ZA MEXICO

Image
Baada ya kumaliza honeymoon uko Ulaya, sasa Kanye,North na Mkewe wameenda mapumzikoni tena Punta Mita, Mexico. Wanandoa hawa wamekuwa wakiishi kwenye nyumba binafsi iliyopo eneo hilo la beach kukwepa mapaparazi.Kama kawaida ya kim Kardashian katupia picha katika mtandao wa Instagram akiwa ndani ya Bikini.

DUNGA KOCHA MPYA WA TIMU YA BRAZIL

Image
Brazil imemtangaza mchezaji wa zamani Dunga kuwa kocha wa timu ya taifa, kwa mara ya pili. Dunga alikuwa nahodha wa Brazil mwaka 1994 waliposhinda Kombe la Dunia, na alikuwa kocha kuanzia mwaka 2006 hadi 2011. "Nimefurahi sana kurudi," amesema Dunga, 50, ambaye alikuwa akitajwa sana kuchukua nafasi hiyo. Dunga anachukua nafasi ya Luiz Filipe Scolari, aliyejiuzulu baada ya Brazil kufika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014, lakini alipata kipigo kizito katika historia ya taifa hilo kwa kufungwa 7-1 na Ujerumani. Dunga aliifikisha Brazil katika robo fainali Afrika Kusini mwaka 2010. MJENGWA.

MKAZI WA ARUSHA ABAMBWA NA MABOMU YA KURUSHA KWA MKONO.

Image
Mkoa wa Arusha umekuwa ukigubikwa na matukio ya milipuko ya mabomu katika nyumba za ibada na sehemu tofauti zenye mkusanyiko wa watu, jeshi la polisi katika harakati za kutokomeza na kupambana na uharifu wa namna hii  imemkamata mkazi mmoja wa huko Kibaoni Sombetini Arusha akiwa na mabomu ya kurusha kwa mkono maarufu kama kiazi, uchunguzi zaidi unaendelea juu ya tukio hili.   Picha ni kwa hisani ya Anold Kayanda.

WANNE MBARONI SAKATA LA MIILI YA BINADAMU

Image
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova Watu wanane wanashikiliwa na polisi wakiwemo Madaktari kwa tuhuma za kuhusika kwenye tukio l a kutupwa kwa mabaki ya miili ya binadamu jana jioni nje kidogo ya jiji la Dsm Huku likiendelea na uchunguzi kuhusu tukio hilo,Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova ametangaza kuundwa kwa jopo la upelelezi kuchunguza tukio hilo, ili kubaini taratibu gani zilikiukwa na kujua aina ya mashtaka itakayowakabili. Mabaki ya miili iliyotupwa eneo la Bunju Dar es Salaam Uchunguzi wa awali umebainisha kuwa miili hiyo ilikua katika Taasisi ya mafunzo ya udaktari IMTU kabla ya kukutwa imetupwa eneo la Bunju. Taasisi hiyo imekiri kwamba mabaki ya miili ilikua katika taasisi hiyo lakini haijatoa maelezo kuhusu kutupwa kwa miili hiyo.

ZIMEBAKI SIKU 3 ALIKIBA KUACHIA NGOMA MPYA,JE ATARUDI KWA KISHINDO?

Image
Zikiwa zimebaki siku 3, mkali wa Cindelera na hit song kibao Ally Kiba, anatarajia kudrop single mpya mtaani wiki hii. Msanii huyu amekuwa kimya kwa muda mrefu na kupelekea  baadhi ya mashabiki wake kuhoji kila mara nini hasa kimemsababisha mkali huyu aliyewahi kukutana katika ngoma moja na msanii R.kelly katika nyimbo iliyokutanisha wasanii mbalimbali kutoka bara la Afrika.inayoitwa "One 8". Ally Kiba amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na msanii anayefanya vizuri kwa sasa katika muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz, mpaka kupelekea kuwa na marumbano ya mara kwa mara na wakati mwingine kutishiana kabisa. Swali lililopo vichwani mwa wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva je Ally Kiba atakuja kwa nyimbo gani kali ambayo itaweza kumkalisha hasimu wake? BASI TUSUBILI