PICHA: KANYE NA KIM KARDASHIAN WAKIWA MAPUMZIKONI KATIKA FUKWE ZA MEXICO



Baada ya kumaliza honeymoon uko Ulaya, sasa Kanye,North na Mkewe wameenda mapumzikoni tena Punta Mita, Mexico.

Wanandoa hawa wamekuwa wakiishi kwenye nyumba binafsi iliyopo eneo hilo la beach kukwepa mapaparazi.Kama kawaida ya kim Kardashian katupia picha katika mtandao wa Instagram akiwa ndani ya Bikini.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA