MKAZI WA ARUSHA ABAMBWA NA MABOMU YA KURUSHA KWA MKONO.

Mkoa wa Arusha umekuwa ukigubikwa na matukio ya milipuko ya mabomu katika nyumba za ibada na sehemu tofauti zenye mkusanyiko wa watu, jeshi la polisi katika harakati za kutokomeza na kupambana na uharifu wa namna hii  imemkamata mkazi mmoja wa huko Kibaoni Sombetini Arusha akiwa na mabomu ya kurusha kwa mkono maarufu kama kiazi, uchunguzi zaidi unaendelea juu ya tukio hili.

  Picha ni kwa hisani ya Anold Kayanda.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA