Posts

Showing posts from October, 2011

SIR ALEX FERGUSON: MIAKA 25 YA UKOCHA NDANI YA MANCHESTER UNITED KWENYE TASWIRA.

Image
NOVEMBER 6 MWAKA HUU SIR ALEX FERGUSON ATATIMIZA MIAKA 25 AKIWA MANAGER WA MANCHESTER UNITED.TANGU 1986 MPAKA LEO HII FERGUSON AMEFANIKIWA KUIPA UNITED JUMLA YA VIKOMBE 35. HILI NDILO KOMBE LA KWANZA FERGUSON KUFANIKIWA KUCHUKUA AKIWA NA UNITED IN 1990: FA Cup (v C. Palace, 3-3 - won replay 1-0)

SEMINA YA SSPRA YAFANA SIKU YA JUMAMOSI

Image
Wanachama wa SSPRA wakisikiliza kwa makini wakati wa semina kutoka kushoto ni Jacqueline Patrick(Katibu msaidizi),Christopher Ngonyani (Katibu), Wilfried Medard (Makamu mwenyekiti) wakiwa katika semina ya kuijenga SSPRA Jacqueline Patrick(Katibu msaidizi) Wilfried Medard (Makamu mwenyekiti) Albert Tibaijuka (Patron) akitoa busara zake kwa wanachama wa SSPRA Ndugu Msafiri Lawrence ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Uhusiano wa Umma na Masoko akitoa husia kwa wanachama wa SSPRA Albert Tibaijuka (Patron) wanachama na viongozi wa SAUT STUDENTS PUBLIC RELATIONS ASSOCIATION (SSPRA) jumamosi ya mwisho wa wiki hii walifanya semina ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza na pia kuwakumbusha wanachama wa zamani juu ya kazi na majukumu ya SSPRA katika hali ya kukijenga na kukiimarisha chama hicho semina iliyofanyika katika moja ya madarasa chuoni hapo ndani ya jengo la Mwanjonde. Aidha akifungua kikao hicho Mwenyekiti wa Kikao hicho ndugu Frank Mashauri alianza kwa kumkaribisha Makamu mwenyekiti w...

NAFASI ZA MASOMO AWAMU YA TATU ZATANGAZWA KATIKA BAADHI YA VYUO TANZANIA MWAKA WA MASOMO 2011/2012

Image
Wale wanafunzi wote ambao walikosa nafasi za kujiunga na vyuo katika mchakato mzima wa awamu ya kwanza na awamu ya pili. Lakini sasa baadhi ya vyuo vikuu vikiwemo Teofilo Kisanji University, Stefano Moshi Memorial University College,St. Augustine University of Tanzania, Ruaha University, National Institute of Transport, Iringa University College, Institute of Finance Management, Eskerforde Tanga University, University of Dodoma na Ardhi University vimetangaza baadhi ya nafasi hizo. Nafasi zimeelezewa vema na pia mwaweza tazama wapi unataka kujiunga. Fungua sasa na ufuate maelekezo na kutuma maombi yako bila kuchelewa Tunawatakia mafanikio mema wale wote ambao wataenda kujiunga. Kutazama nafasi mpya za masomo bofya hapa: : www.tzwanavyuo.blogspot. com OR www.tcu.go.tz

SIMBA WAHAMA BAMBA BEACH

Image
VINARA wa ligi kuu soka Tanzania Bara,Simba leo wanatarajiwa kuhamisha kambi yao kutoknaka katika hoteli ya Bamba Beach iliyopo Kigamboni mpaka katikati ya jiji la Dar es Salaam, yote ikiwa ni katika maaandalizi ya pambano lao na mahasimu wao wa jadi nchini Yanga, itakayopigwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

KAZI IMEANZA MISS WORLD

Image
Salha Izrael,Vodacom Miss Tanzania 2011 akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Dunia. Hapa wakiwa Scotland. Hapo wakishiriki michezo ndani ya kambi nchini Uingereza na kwa bahati nzuri leo wametangaza warembo walioweza kuingia katika nusu fainali ya kumsaka mrembo mwenye kipaji na mwenye kipaji cha urembo ambapo kama kawaida yetu Tanzania bwana. Hebu check waliofanikiwa hapa For Sports Group 1: Bonaire, Australia, Bahamas, Canada, Chile, Bolivia Group 2: Czech Republic, Guatemala, Dominican Republic, Denmark, Hungary, Botswana Group 3: Panama, Paraguay, Lithuania, Jamaica, Latvia, Portugal Group 4: Trinidad & Tobago, Puerto Rico, Sweden, Singapore, Uganda, Scotland For Talent Paraguay, Iceland, Latvia, Malta, US Virgin Islands, Lithuania, Barbados, South Africa, Guatemala, Cayman Islands, Venezuela, Canada, Ukraine, Puerto Rico, Kazakhstan, Chile, St Barthelemy, China PR, Czech Republic and Indonesia.