MWENGE WA UHURU WAINGIA MKOANI MARA UKITOKEA MKOANI ARUSHA
Mbio za Mwenge wa uhuru zaanza mkoani Mara
Katibu Tawala mkoa wa Mara Bw, Clement Lujaji akiwa ameushika Mwenge wa Uhuru
Mkuu wa wilatya ya Butiama Bi Angelina Mabula akiwa ameushika Mwenge wa uhuru
Mkuu wa wilaya ya Musoma Bw Jackson Msome akiwa ameushika Mwenge wa Uhuru
Burudani ni sehemu za mbio hizo za Mwenge
Chanzo: www.mwanawaafrika.blogspot.com
Comments
Post a Comment