Posts

Showing posts from February, 2014

AUDIO:SIKILIZA NA KUDOWNLOAD Shetta Ft Diamond - Kerewa

MUSIC: Download na kusikiliza C-feza ft Chock-G _"Nishike Mikono LSK Zambia

UFANUNUZI KWA WAHITIMU KIDATO CHA NNE,2013 JUU YA POINT 43 KUWA ZIRO AU DARAJA LA 1V.

Image
Baraza la Mitihani (NECTA)limetoa ufafanuzi juu ya upangaji wa madaraja yaliyokuwa yakileta mkanganyiko hasa daraja la IV kwa baadhi ya watainiwa kupata point zilizo sawa mfano 43 lakini wengine wakiwekewa daraja la IV wengine 0, sasa NECTA wametoa ufafanuzi huo kama ifatavyo; NECTA imesema, kwa yeyote mwenye pointi kuanzia 32 kama hana ama D mbili au C moja, anahesabika kuwa na Daraja 0 kama inavyoonekana katika picha. Hii ndiyo sababu utaone wanafunzi wana pointi mfano 43 lakini mmoja yupo daraja Sifuri (0) na mwingine yuko daraja la nne (4).

BONGE LA NYAU FT. ALIKIBA UAMINIFU (Official Video)

Image

VIDEO: Mrs Superstar - Young Killer Feat Bright & Nemo ( Official Music Video)

Image

VIDEO:Tundaman Feat Alikiba - Msambinungwa (Official Video)

Image

Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Image
Uganda’s President Yoweri Kaguta Museveni has responded to criticisms from the USA, where President Barrack Obama said passing to the anti-homosexuality law would complicate relations. “I would like to discourage the USA government from taking the line that passing this law will “complicate our valued relationship” with the USA as President Obama said. “Countries and Societies should relate with each other on the basis of mutual respect and independence in decision making,” Museveni said in a statement . He reassured all Ugandans and the international community of its continued commitment and respect for the rule of law. —————————————————————————————————————————————– Statement by H.E. Yoweri Kaguta Museveni President of the Republic of Uganda Responding to H.E. Obama’s statement on Homosexuality 18th February 2014 I have seen the statement H.E President Obama of the USA made in reaction to my statement that I was going to s...

MATOKEO 2013: ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAPA

Image
Matokeo ya kidato cha nne yaliyofanyika mwanzoni mwa mwezi November, 2013 yametoka Matokeo ya Kidato cha nne 2013 huku kiwango cha ufaulu kikiwa kimepanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013. Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%). Je, nini maoni yako kuhusu matokeo haya? Weka maoni yako hapa. unaweza kuangalia hapa kwa kuclick link hii   MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

MUGABE ATIMIZA MIAKA 90

Image
Rais Robert Mugabe amefikisha miaka 90 leo, Mugabe alizaliwa 21 February,1924 huko wilaya ya Zvimba, kaskazini Mashariki mwa Southern Rhodesia (Zimbabwe) akiwa mtoto wa tatu kati ya sita waliozaliwa.  Rais Mugabe ndiye rais mkongwe zaidi Afrika. Hivi ulikuwa unajua kuwa Rais Mugambe ni shabiki mkubwa sana wa CHELSEA?  HAPPY BIRTHDAY HON. ROBERT MUGABE

VIDEO: VICTORIA KIMANI FT PREZZO & AY- WHOA REMIX

Image
The Queen is back and I must say she knows how to make an entrance.  Victoria Kimani hit marker wa nyimbo ya "mtoto" kutoka country code 254 Kenya ametoka kivingine awamu hii kwa kuwashirikisha AY pamoja na Prezzo katika wimbo wa 'WHOA" remix na kudhihirisha mbio zake katika muziki pendwa kwa vijana katika ukanda wa Afrika mashariki.  Itizame video hii hapa na kutoa maoni yako. 

TECHNOLOJIA: TUMIA SIMU YAKO KUPATA MATERIAL BUREEE

Katika pitapita yangu katika mitandao nikakutana na hiki kitu kutoka katika timeline ya  maurus.nchimbi juu ya kuweza kutumia simu yako ya mkononi ya kawaida kabisa kwa wale wanafunzi wa 0-level kuweza kupata notisi na quiz za masomo mbalimbali kupitia simu ya mkononi kwa njia ya ujumbe mfupi yaani (sms) kwa kufuata maelekezo aliyoyatoa hapa chini. Ni mwendo wa science na Technologia... "Jipatie notes na quiz za kidato cha kwanza hadi cha Nne kwa njia ya simu ya mkononi" Tuma sms " C*1" kwenda 0758722040. Utapata notes za civics form one. C inasimama badala ya Civics na 1 badala ya Civics. unaweza ukapata pia za form 2, 3 na 4 kwa kufuata mfumo huo. Masomo mengine ni kama "H" inawakilisha History, "Z" chemistry, "P" physics, "B" biology, "G" geography. Ili kupata Quiz andika na tumaa "QC*1" utapata maswali ya form one civics. Ukikosea mara kwa mara tutakupigia kukupa maelezo zaidi. NB: Hudum...

Facebook yasema itainunua WhatsApp

Image
Facebook na WhatsApp ni maarufu sana miongoni mwa vijana. Kampuni ya mtandao wa Kijamii ya Facebook imesema kuwa itanunua mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa kima cha dola bilioni kumi na sita, na nyongeza zaidi ya dola bilioni tatu zitakazolipwa waanzilishi wa mtandao huo pamoja na wafanyikazi wake. Hiyo ndiyo biashara kubwa zaidi ya ununuzi kuwahi kutekelezwa na Facebook hadi kufikia sasa. WhatsApp ni maarufu sana miongoni mwa vijana wanaotafuta kuepuka kulipia huduma ya kutuma ujumbe mfupi wa simu yaani SMS. WhatsApp imeweza kuwasajili zaidi ya watumiaji milioni mia nne hamsini. Katika taarifa, mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa mtandao huo upo njiani kuwaunganisha watu bilioni moja jambo litafanya Facebook kuwa na thamani kubwa.

VIDEO:Innocent Mkumba ft Belle 9-Mapenzi yako (Official music video HD)

Image

KITUKO:Mapenzi ya Whatsapp:

kituko hiki ni kutoka jamiiforums na kimepostiwa na Mtamile MKAKA : Hello Babe.... (11:45pm) MDADA : (last seen at 11:46pm) MKAKA :Nijibu tafadhali ( 11:50pm) MDADA : (last seen at 11:52pm) MKAKA : Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu? (00:00am) MDADA : (last seen at 00:01am) MKAKA : Ok usiku mwema baby, nilitaka kukwambia tu kuwa zile pesa nilizokwambia nilikuwa nadai nimepata. Nimeweka pembeni laki tano kwa ajili ya shopping yako ya Krismas, naona hujibu kwa hiyo bye baby…… (00:01 am) MDADA : (typing): Ohh! Hi dear... Actually nilikuwa na mom nikawa nashindwa kukujibu ... wow darling najua roho yako sasa imetulia umelipwa deni lako.. I love you a lot... Unataka twende shopping saa ngapi? (00:05am) MKAKA : (last seen 00:06am) MDADA : Baby nijibu basi, nijibu nijue muda gani nijitayarishe, nijibu betry yangu inaisha chaji baby, nijibu sasa hivi (00:08am) MKAKA : (last seen 00:09am) MDADA : Naweka simu kwenye chaji dakika mbili baby (00:10am) MKAKA : ...

NANI ANAFUGA HAWA NDEGE?? MALISA GODLISTEN ANAYO MAJIBU.

kutoka katika ukurasa wa facebook wa Malisa Godlisten nikakutana na hii, mdau fatilia kilichotabainishwa humu ndani na ndugu Malisa.  Huu umoja wa wabunge wanaopinga ujangili ni mradi wa nani?? Umeundwa lini? Umeanza kufanya kazi lini? Umoja huu sio rasmi means hautambuliki bungeni hivyo haupati fedha yoyote kutoka bungeni za kuendesha shughuli zake. Sasa wanapata wapi fund ya kuoperate na kufanya Press conference?? Halafu wanapotoa misimamo, wanatoa misimamo kama nani? Maana kisheria mambo yote yanayohusu m ... aliasili na utalii yanasemewa na kamati ya maliasili na utalii inayoongozwa na Mh.James Lembeli. Sasa hawa wanapotoa misimamo, vp misimamo yao ikacontradict misimamo ya kamati ya maliasili na utalii ambayo ndio inayotambulika kisheria? Halafu "kiumoja hiki" kilikuwa wapi siku zote,.mbona wasitoe matamko hadi Uingereza iliposhutumu kuwa vitendo vya UJANGILI NCHINI VINAFADHILIWA NA VIONGOZI WA SERIKALI.?? Umoja huu unaoongozwa na Rizik Said, huku w...

VIDEO:Angalia Video mpya ya Emmanuel Msuya, "Leo ni leo"

Image

WAFANYABIASHARA MKOA WA MWANZA WAGOMA TENA KUPINGA MASHINE ZA EFD

Image
Mgomo wa wafanyabiashara kugomea mashine za kielektroniki za EFD umezidi kushika kasi katika baadhi ya mikoa kama ilivyotokea jana katika baadhi ya mikoa kama Mara, Iringa na Dar Es Salaam, hali hii imeendelea leo katika jiji la Mwanza pia na Dodoma kama unavyoona katika hizi picha zilichukuliwa jijini mwanza na Blogger Gsengo pi picha ni kutoka blog ya gsengo