Posts

Showing posts with the label Entertainment

Shemeji wa ZARI aibula na kudai TIFFAH si mtoto wa Diamond!

Image
Kazi ipo! Siku chache baada ya kuliona jua, mtoto wa kike ‘baby girl’ wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aliyempata kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah a.k.a Princess Tiffah anazidi kuwa gumzo. TIFFAH SI WA DIAMOND? Safari hii shemeji wa Zari ambaye ni rafiki mkubwa wa aliyekuwa mumewe wa ndoa aliyezaa naye watoto watatu wa kiume, Ivan Ssemwanga aitwaye King Lawrence ameibuka na kudai: “Tiffah si mtoto wa Diamond.” Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Uganda, King Lawrence, mwenye makazi yake nchini humo na Afrika Kusini ‘Sauz’ ameacha watu midomo wazi kwa kuendelea kusisitiza kuwa Tiffah ni damu ya Ivan. GUMZO UGANDA Vyombo hivyo vimeenda mbali zaidi kwa kudai kuwa Tiffah hafanani na Diamond bali Ivan, jambo lililoibua gumzo kubwa nchini humo. Hata hivyo, vyombo hivyo vilidai kuwa kwa mujibu wa chanzo cha ndani ya familia ya Diamond, sura ya mtoto huyo ni Ivan mtupu kwani anafanana na wanaye watatu aliozaa na Zari. KINARA NI K

Shamsa, Nay, siamini kama nyie ni wa kutafuta kiki! ...suala la mapenzi, si wa muziki wala filamu

Image
  WAANDISHI wa habari na mastaa wa fani mbalimbali duniani ni watu wa familia moja. Wanakutana, wanaongea na baadhi yao wanajenga urafiki mkubwa au hata kuoana. Kuna msururu mrefu wa mastaa walioingia katika uhusiano wa kimapenzi na waandishi au kujenga urafiki wa kindugu. Ni rahisi kwangu kwa mfano, kukutana na staa yeyote mkubwa katika nchi hii kuliko inavyoweza kuwa hivyo kwa mtu mwingine. Hata kama sijawahi kukutana naye, ni kiasi cha kujitambulisha na kuomba miadi naye. Inaweza isiwe muda ule nitakao mimi, lakini mwishowe tutakutana na kufahamiana. Inakuwa rahisi kwa sababu ni watu tunaotegemeana kikazi. Mimi nitahitaji kujua habari zake ili niihabarishe jamii kama ambavyo yeye atanihitaji mimi ili nipeleke ujumbe kwa mashabiki wake. Zipo baadhi ya nyakati unakutana na msanii kwa mfano, hajui namna gani atapromoti kazi yake, iwe nyimbo au filamu, hivyo kutokana na uzoefu unaweza kumpa mwongozo wa suala hilo. Kifupi ni watu tunaoishi nao, tunajuana vizuri kiasi kwamba baadh

KATUNI BABU KUBWA ZA KISIASA

Image

Mr Flavour kama Diamond, apata mtoto

Image
WAKATI nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platinum) akifurahia mtoto wake wa kwanza aliyempa jina la Tiffah, nyota mwenzake wa Nigeria, Flavour Nabania ‘Mr Flavour’ naye amepata mtoto. Diamond Platinum na mpenzi wake, Zarina Hassani (Zari), wamefanikiwa kupata mtoto wa kike huku Mr Flavour na mpenzi wake, Anna Banner wakipata mtoto wa kiume. Mtoto wa Mr Flavour amezaliwa Texas nchini Marekani akiwa ni mtoto wake wa pili, wa kwanza akiwa amezaa na mrembo, Sandra Okagbue, mwaka jana huku mpenzi wake, Anna mwenye miaka 20 akiwa ndiye mtoto wake wa kwanza. Kama ilivyo kwa Diamond akifurahia mtoto wake wa kwanza huku Zari akiwa na mtoto wa nne. Anna alikuwa akisoma Dubai lakini alikacha masomo baada ya kuahidiwa ndoa na Mr Flavour, lakini msanii huyo aliwahi kutangaza kwamba hana mpango wa ndoa kwa sasa.

Jux kudondosha video mpya “I’m Looking for you” feat. Joh Makini kwa mara ya kwanza kwenye #Exclusive ya MTV Base Africa!

Image
Msanii wa Bongo Flava Jux anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, jumanne hii saa kumi na mbili jioni (E.A.T) video mpya ya bongo flava superstaa Jux aliomshirikisha staa wa Hip Hop nchini Joh Makini itaruka kwa mara ya kwanza (Exclusive) kwenye Mtv Base Africa (chanel 322) . Wimbo unaitwa I’m looking for you na video imetengenezwa South Africa ndani ya usimamizi wa Justin Compos wa Gorilla Films.

Ali Kiba athibitisha collabo yake na Davido, azungumzia walichoimba humo.

Image
Kama ambavyo unafahamu Davido alithibitidha kuwa anampango wa kufanya kollabo na Ali Kiba kutoka Tanzani ikiwa ni miongoni mwa collabo zake ambazo ziko kwenye pipe line. Kwenye interview na XXL, Ali kiba amesema  ” Track iko vizuri, lakini idea bado haijakamilika ila kiukweli mi hua nafanya nikiwa studio, tutazungumzia kuhusu goodtime, party, mapenzi flani you know ,yani nyimbo flani ya kuhamasisha watu katika raha “ .

Baada ya kuchimbwa mkwara na Nuh Mziwanda,Idris Sultan ajibu tuhuma za kumtongoza Shilole.

Image
Hivi karibu msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda ambaye ni mchumba wa Shilole alimtuhumu mshindi wa Big Brother Afrika Idrs Sultan kuwa amekuwa akimtongoza mchumba wake Shilole. Nuh aliweka wazi kuwa hata sms za simu ameziona. Hili ndio jibu la Idris. ” Kati ya vitu sisubiri kuambiwa ni ikiwemo kuwa am social. Tabia yangu ikiwemo kupenda watu na kufanya mazungumzo na wengi. Sasa unapokuja na agenda za nje kwangu nakukaribisha sio kuwa sikujui ila nakuvumilia na kukupa mda wa kujirekebisha. Kama mwanaume uliyekamilika huwezi kuja insta kiholelaholela kulalamika kuwa mwanamke wako anasumbuliwa, 1. Huna namba yangu 2. Mbona mwanamke wako hasemi 3. Ulikua unafanya nini kwenye simu yake kukagua message au na pochi unambebea 4. Naanzia wapi kumsumbua mwanamke wako, hivi umemuona wangu kwakweli ? 5. We ni mwanamziki au muuza magazeti mbona uswahili sana ?. Ukitaka kumsumbua wangu sikukatazi ila njoo na dictionary. Watu tuna amani na upendo ila vipepeo vyako vinaweza kulet

SOMA ALICHOKIANDIKA ZARI KWENYE PICHA HIZI ZA DIAMOND AKIWA AMEMBEBA TIFA IMETHIBITISHA KUWA ZARI KWELI NI MAMA

Image
"It doesn't take long to look around and SAY THANK YOU, GOD! No matter what you're facing today, rejoice by choice coz today is a previous gift some people didn't make it thru the nyt......good morning!"-Zari Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

KATUNI ZA MASOUD KIPANYA

Image
      

Breaking News: Bobbi Kristina mwanawe Whitney afariki

Image
Bobbi Kristina Brown ,mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki wa R&B ,amefariki dunia baada ya kupoteza fahamu kwa muda wa miezi sita tangu alipokutwa taabani kwenye bafu lake na pindi alipofikishwa hospitalini na kukutwa na matatizo kwenye ubongo. Bobbi amekufa akiwa na umri wa miaka 22,huku akivutiwa kuwa muigizaji na muimbaji mahiri na mwenye ubora wa aina yake. Msemaji wa familia Kristen Foster amesema Bobbi amefariki akiwa amezungukwa na familia yake ,''hatimaye yuko salama sasa kwenye mikono ya Mwenyezi Mungu,tunawashukuru wote walioungana nasi katika maombi na kuonesha upendo kwa miezi michache iliyopita''. Bobbi ambaye alikuwa amepoteza fahamu tangu akutwe ameanguka kwenye bafu lake panapo tarehe 31 januari mwaka huu na kuwekwa kwenye matibabu huku akiwa amekosa ufahamu na mpaka kifo chake kumkuta alikuwa hajapata fahamu bado. Inakumbukwa kuwa miaka mitatu iliyopita mama yake Bobbi,alikutwa pia kwenye bafu lake amepoteza fah

ALIKIBA - CHEKECHA CHEKETUA (OFFICIAL VIDEO)

Image
‘Chekecha Cheketua’ is Alikiba's 2nd official smash hit release through his worldwide exclusive partnership with his record label and management company 'ROCKSTAR4000' and publishing partnership with 'Rockstar Publishing'. The Music Video was released as a Worldwide 1st Exclusive with TRACE TV, TRACE URBAN and TRACE NIGERIA - @TraceNigeria @Trace_Inter #TraceTV #TraceUrban #TraceNigeria This ‘Chekecha Cheketua’ music video was Directed by Meji Alabi (@mejialabi) and JM Films (@JM_FilmsTV)

Millem Magese atunukiwa tuzo ya heshima ya Global Good ya BET Awards 2015

Image
Miss Tanzania, 2001, Happiness Millen Magese, hatimaye ametunukiwa tuzo ya kwanza ya heshima ya Global Good ya BET Awards 2015. Millen amepewa tuzo hiyo kutokana na jitihada zake za kampeni ya ugonjwa wa endometriosis ambao pia amekuwa nao katika maisha yake yote tangu awe msichana. Tatizo hilo limempelekea kuwa mgumba. Pamoja na hivyo Millen amekuwa mstari wa mbele kutoa misaada mbalimbali kwa wasiojiweza.

Tuzo za BET 2015 zimeshatolewa tayari, list yote ya washindi ipo hapa

Image
Tuzo za  BET Awards 2015  zilichukua headlines kubwa siku ya jumapili tarehe 28 June 2015  Los Angeles  Marekani  ambapo mc alikua ni  Anthony Anderson  na  Trace Ellis Rose. Wakali wa muziki kama  Chris Brown ,  Nicki Minaj , na  Rihanna  na wengine walimiliki stage kwa kuperform.  Janet Jackson  pamoja na  Smokey Robinson  walikua baadhi ya watu waliopewa tuzo za heshima mwaka huu na  BET . Hapa chini nimekusogezea orodha kamili ya wale wakali wote waliopokea tuzo ya  BET Award  mwaka huu wachache wakiwemo  Beyonce   akiongoza na tuzo 3,  Nicki Minaj akiwa na 2,  Kendrick Lamar, Big Sean, Chris Brown, John Legend   wakiwa na tuzo moja kila mmoja na kwenye kile kipengele cha  International Best Act: Africa Stonebwoy  kutoka  Ghana  aibuka kidedea. Best International Act: Africa; Stonebwoy (Ghana) Hii hapa ndio orodha kamili ya wasanii wote waliopokea tuzo za  BET Award , karibu uitazame  Best International Act UK: FKA Twigs Fuse ODG Lethal Bizzle Little Simz

LINAH AJIWEKA KIMAHABA KWA KAKA’AKE ZARI

Image
Staa wa Muziki wa kizazi kipya, Estelinah Sanga ‘Linah’ akiwa ameketi na William Bugeme ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka wa Zarina Hassan ‘Zari’ kiukoo. MREMBO  anayefanya poa kunako Bongo Fleva, Estelinah Sanga ‘Linah’, anadaiwa ‘kujiegesha’ kimahaba kwa shemeji yake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye William Bugeme ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka wa Zarina Hassan ‘Zari’ kiukoo. Ndani ya Ukumbi wa Triple 7 uliyopo Kawe jijini Dar hivi karibuni, paparazi wetu aliwaona wakiingia sambamba na kukaa beneti kama mtu na mpenzi wake jambo lililozua maswali kibao kutoka kwa wateja waliokuwepo ukumbini hapo. Linah na Boss Mtoto katika pozi la kimahaba. Mbali na kunaswa siku hiyo, pia paparazi wetu amekuwa akiwashuhudia mara kadhaa wawili hao wakiwa pamoja katika kumbi mbalimbali za starehe jijini Dar. Mara ya mwisho, Linah na Boss Mtoto walikuwa pamoja kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Kili Music zilizofanyika ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, mapema mwezi huu. Nd

NE-YO KUFANYA MAKAMUZI KWENYE TUZO AMBAZO DIAMOND NA VANESSA MDEE WANAWANIA!

Image
Ne-yo. STAA kutoka nchini Marekani ambaye ni mwimbaji, mwandishi wa mashahiri, dansa na mwigizaji, Ne-yo ni mmoja mwa wasanii watakaotoa burudani katika utoaji Tuzo za Muziki za MTV Africa (MAMAs) huko nchini Afrika Kusini. Taaarifa hiyo imethibitishwa na habari iliyowekwa katika akaunti ya Twitter ya MTV Africa ikieleza kuwa mkali huyo wa R&B tayari amethibitisha kupiga shoo katika tuzo hizo. Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Jumamosi ya Julai 18, 2015 huko KwaZulu-Natal, Afrika Kusini ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii wawili Vanessa Mdee na Diamond Platnumz. Hawa ndiyo washiriki wetu katika tuzo hizo: