Jux kudondosha video mpya “I’m Looking for you” feat. Joh Makini kwa mara ya kwanza kwenye #Exclusive ya MTV Base Africa!
Msanii wa Bongo Flava Jux
anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, jumanne hii saa kumi
na mbili jioni (E.A.T) video mpya ya bongo flava superstaa Jux aliomshirikisha staa wa Hip Hop nchini Joh Makini itaruka kwa mara ya kwanza (Exclusive) kwenye Mtv Base Africa (chanel 322).
Wimbo unaitwa I’m looking for you na video imetengenezwa South Africa ndani ya usimamizi wa Justin Compos wa Gorilla Films.
Comments
Post a Comment