Ali Kiba athibitisha collabo yake na Davido, azungumzia walichoimba humo.

kibaa 12
Kama ambavyo unafahamu Davido alithibitidha kuwa anampango wa kufanya kollabo na Ali Kiba kutoka Tanzani ikiwa ni miongoni mwa collabo zake ambazo ziko kwenye pipe line.
Kwenye interview na XXL, Ali kiba amesema  ” Track iko vizuri, lakini idea bado haijakamilika ila kiukweli mi hua nafanya nikiwa studio, tutazungumzia kuhusu goodtime, party, mapenzi flani you know ,yani nyimbo flani ya kuhamasisha watu katika raha “.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA