Posts

MATOKEO YA MECHI EPL YA LEO.

Image
England - Premier League 18:42 September 24 FT Manchester C. 2 - 0 Everton FT Arsenal 3 - 0 Bolton W. FT Chelsea 4 - 1 Swansea C. FT Liverpool 2 - 1 Wolverhampton W. FT Newcastle U. 3 - 1 Blackburn R. FT West Bromwich A. 0 - 0 Fulham FT Wigan Athletic 1 - 2 Tottenham H. 54' Stoke C. 0 - 1 Manchester U. England - League Championship 18:42 September 24 FT Birmingham C. 1 - 1 Barnsley FT Bristol C. 1 - 1 Hull C. FT Burnley 1 - 1 Southampton FT Coventry C. 1 - 1 Reading FT Derby County 3 - 0 Millwall FT Doncaster R. 1 - 0 Crystal Palace FT Middlesbrough 0 - 0 Ipswich T. FT Portsmouth 1 - 0 Blackpool FT West Ham U. 1 - 0 Peterborough U. 69' Watford 0 - 1 Nottingham F.

KUTAKUWA NA GIZA TENA ???????

Image

Vodacom Foundation yasaidia walemavu

Image
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga (wa pili kilia) akimshukuru Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon wakati wa kukabidhi mabango 30 yenye thamani ya shilingi 3.5 M kwa ajili ya watu wenye ulemavu Nchini. Wa pili (kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani kwa watu wenye ulemavu Jutoram Kabatele na Mwakilishi wa Compass Communications Mario Mpingirwa.

PATA LYRICS ZA ONE THE INCREDIBLE UPATE DARASA BUREEEEEEEEE

Pure mathematics lyrics Yap, yeayah Ah, M-Lab (M-Lab is in the house) Moko, don’t touch it Yeah, Ahsante, Ah Beat kali haifai bila vocal Daily nakula dry, niko high kama popo Fanya worldwide sio ku try kama local Fake MC ukijikoki mi na squeeze kama fofo Ah, Verse baridi vaa koti Salamu kwa wanangu wote sina ripoti Bado mishemishe sapoti mwanangu opi Kila biti natoboa kama juisi ya kijoti Ni discipliner nawasimamisha wima Minya rapper [Mi nyarapa] mpaka sura kama simu ya kichina Mistari na vina, kwenye shari habari sina Mchagga halali, macho kwenye salari daima Zunguka kote hauna rafiki kama noti Sista duu hauna mnafiki kama shosti Tafuta deal uza hata pipi we bitoz Tafuta njia haya maisha hayamuliki kama tochi Chorus Chap chap chap chap ni sawa M-Lab, pure math, rap ni dawa Chap chap chap chap ni sawa Pure mathematics (dogo kapagawa) x2 We unachana mi nachana mpaka basi Niko booth nina bic, karama na karatasi Sina hofu, nina speak salama kwa sala safi Ila ukinivaa vibaya nakuchana

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA

Image
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa nchini. Katika mabadiliko hayo, amewateua Wakuu wa Mikoa wapya 15, kuwabadilisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa watano na wengine saba wamestaafu kwa mujibu wa taratibu. Mkuu wa Mkoa wa Singida amebaki kwenye kituo chake cha kazi wakati Wakuu wa Mikoa wengine wanne watapangiwa kazi nyingine. Aidha, Wakuu wa Mikoa mipya minne ya Simiyu, Geita, Katavi na Njombe itakayoundwa baada ya taratibu kukamilika watatangazwa baadaye. Kwa mujibu wa mabadiliko hayo, Wakuu wa Wilaya 11 wamepandishwa Vyeo na kuwa Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: Bw. John Gabriel Tupa ambaye anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara; Bw. Saidi Thabit Mwambungu (Ruvuma); Bi. Chiku S. Gallawa (Tanga); Bw. Leonidas T. Gama (Kilimanjaro); Dk. Rehema Nchimbi (Dodoma); Bw. Elaston Mbwillo (Manyara); Kanali Fabian Massawe (Kagera); na Bibi. Fatma Abubakar Mwassa (Tabora). Wakuu wa Wilaya wengine walioteuliwa ni Bw. Ali Nassoro Rufunga, (Lindi)

MAN UTD YAIKATALIA BENFICA NYUMBANI KWAKE

Image
Ajax 0 - 0 Lyon Basle 2 - 1 SC Otelul Galati Benfica 1 - 1 Man Utd Dinamo Zagreb 0 - 1 Real Madrid Inter Milan 0 - 1 Trabzonspor Lille 2 - 2 CSKA Moscow Man City 1 - 1 Napoli Villarreal 0 - 2 Bayern Munich

ARSENAL WALAZIMISHA SARE UGENINI, BARCA YASHIKWA NYUMBANI, CHELSEA YAUA DARAJANI

Image
BAO la Mholanzi Robin Van Persie katika dakika ya 42 usiku huu kwenye Uwanja wa Signal Iduna Park, Dortmund, Ujerumani mbele ya mashabiki 65,614 chupuchupu liipe Arsenal ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Borussia Dortmund kama si Ivan Perisic kusawazisha dakika ya 88. Katika mchezo huo wa Kundi F, kikosi cha Gunners jana kilikuwa; Wojciech Szczesny, Bacary Sagna, Per Mertesacker, Laurent Koscielny, Kieran Gibbs, Alex Song, Mikel Arteta, Theo Walcott, Yossi Benayoun, Gervinho/Santos dk 86 na Robin Van Persie/Chamakh dk 85. Borussia Dortmund; Roman Weidenfeller, Lukasz Piszczek, Neven Subotic, Mats Hummels, Marcel Schmelzer, Sven Bender, Sebastian Kehl/ Blaszczykowski dk 68, Mario Gotze, Shinji Kagawa/Zidan dk 85, Kevin Grosskreutz/Perisic dk 69 na Robert Lewandowski. Aidha, mabingwa wa Ulaya wenye hadhi ya kucheza soka adimu zaidi duniani, Barcelona walilazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na AC Milan ya Italia kwenye Uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona katika mc

TCU WATOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIODAHILIWA KATIKA MWAKA WA MASOMO 2011/12

TCU wakishirikiana na Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) wametoa majina ya wanafunzi wapya ambao wamedahiliwa katika mwaka wa masomo 2011/12. Majina hayo yameambatana na viwango vyao vya mikopo ambayo wamepatiwa na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.Majina hayo unaweza kuangalia kwa kuclick link hii hapa chini. http://www.tcu.go.tz/info/news/view_news.php?id=56 KUANGALIA KIWANGO CHA MKOPO http://www.heslb.go.tz/

TWOMEN 4 YEARS IN JAIL FOR INCITINGi DISORDER VIA FACEBOOK

Two men in the UK have been jailed for four years for using Facebook to incite disorder. Jordan Blackshaw, 20, from Marston near Northwich, and Perry Sutcliffe-Keenan, 22, from Warrington, appeared at Chester crown court on Tuesday. They were arrested last week following incidents of violent disorder in London and other cities across the UK. Neither of their Facebook posts resulted in a riot-related event. During the sentencing, the recorder of Chester, Elgin Edwards, praised the swift actions of Cheshire police and said he hoped the sentences would act as a deterrent to others. Assistant Chief Constable Phil Thompson said: "If we cast our minds back just a few days to last week and recall the way in which technology was used to spread incitement and bring people together to commit acts of criminality, it is easy to understand the four year sentences that were handed down in court today. "In Cheshire, we quickly recognised the impact of the situatio

Wenye kupata pasi za Kidiplomasia Tanzania ni pamoja na: Wake, Waume wa Viongozi na Wabunge

Serikali imesema wake au waume wa viongozi waandamizi nchini pamoja na wake ama waume wa wabunge wana haki ya kupatiwa pasi za kusafiria za kidiplomasia. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Pereira Ame Silima, alibainisha hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Diana Chilolo (CCM) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Katika swali hilo, Chilolo alitaka kujua ni watu gani ambao wanastahili kupatiwa pasi za kusafiria za kidiplomasia na kama wake ama waume wa viongozi hao wakiwamo wabunge wanaruhusiwa kupatiwa pasi hizo. Akijibu swali hilo, Silima alisema kwa mujibu wa makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki kifungu cha 3(a) yaliyosainiwa jijini Arusha, inaelekeza viongozi hao kupatiwa haki zao, ikiwa ni pamoja na pasi za kusafiria za kidiplomasia. Alisema wanaotakiwa kumiliki pasi hizo ni viongozi waandamizi wakiwamo makatibu wakuu, wabunge, mawaziri ikiwa ni pamoj

Askari JWTZ ahukumiwa miaka 30 jela kwa kunajisi

Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Mbalizi, Saje Michael (44) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 na kulipa faini ya Sh1milioni baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi mtoto wa mtalaka wake. Mtoto aliyenajisiwa anadaiwa kuwa na umri wa miaka mitatu. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo. Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Maria Amosy baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashtaka.Ilidaiwa mahakamani hapo na mwendesha mashtaka wakili wa Serikali Christina Joasy kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Julai 5, mwaka jana, nyumbani kwake Mbalizi Mtaa wa Mtakuja katika Halmashauri ya Mbeya. Upande wa mashtaka ulidai mshtakiwa alimdhalilisha mtoto huyo nyumbani kwake walipopitia nyumbani kwake wakati wakielekea kwa bibi yao mzaa mama ambaye anaishi Mbalizi mkoani hapa.Kwa mujibu wa mwendesha mashtaka mtalaka wake walipoachana na mume

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA HILDER .N. HOLELA

Image
JENEZA LIKIWA PEMBENI YA KABURI KABLA YA KUWEKWA NDANI MAKABURI YA KINONDONI WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI MWILI WA MAREHEMU HILDER UKIWA NDANI YA KABURI Hilder N. Holela ambaye alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustino akisomea Public Relations and Marketing mwaka wa pili alifariki tarehe 13 August, 2011 jijini Dar Es salaam amezikwa leo katika makaburi ya kinondoni jijini Dar Es salaam na mamia ya waombolezaji. Wanafamilia wanatoa shukurani zao kwa Madaktari wa hospitali ya Amana,Madonna kwa moyo wao waliouonyesha wakati wa kunusuru maisha ya marehemu,pia na kwa waombolezaji wote waliojitokeza katika kukamilisha safari ya Hilder hapa duniani. Mungu alitoa na Mungu ametwaa pumzika k wa Amani Hilder RIP HILDER