Posts

Showing posts from December, 2011

NEW YEAR MYSTERY AT MALAIKA BEACH

Image

HAWA NDIO BAADHI YA WASANII WALIOFANYA SHOW NYINGI KWA KIPINDI HIKI CHOTE CHA MWAKA 2011.

Image
Ally Kiba ni msanii aliyefanya vizuri sana kwa mwaka huu 2011 kwa kutoa wimbo wake uliobeba jina la Dushedede. Wimbo huu umempa show kibao za ndani na nje ya nchi na kujikuta anafunga mwana vizuri na kuweka kumbukumbu kwa kufanya show nyingi na kuendelea kuongeza idadi ya mashabiki kote duniani. Dully Sykes aka Brazamen aka Mr. Misifa, huyu bwana kwa mwaka huu ametoa wimbo uliobeba jina la Bongo Fleva nakupa show nyingi hapa bongo na nje ya mipaka ya bongo. Dully ni msanii ambaye kwa mwaka huu amepiga show nyingi hadi kufikia kuwa kwenye tangazo ya kampuni moja ya simu hapa nchini.   Linah msanii bora wa kike kwa mwaka huu aliyefanya vizuri kwa kuchukua tuzo mbili za Kili Music Award, moja ikiwa kama Mwimbaji bora wa Kike na ya pili ni kama msanii bora anayechipukia. Pia kwa mwana huu Linah ameweza kwenda New York kwenye tuzo za mama Laura Bush na Atlanta   kwenye mkutano wa Ushers New Look Foundation . Linah kwa mwaka huu amepiga show nyingi sana

NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA YA MWAKA MPYA 2012

Image

NDANI YA VICTORIA FM 90.6 MHz

Image
Nikaachiwa mtambo kidogo hapa ni kapata chance ya kukutana na mwanadada Khadija Hassan ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Extravaganza show..flash ikatumulika.      

MAPACHA 3, WAPAGAWISHA GOLD CREST, MWANZA

Image
Kalala Junior Khalid Chokoraa Mama yake Kalala Junior naye alikuwepo Jose Mara Benard James wa Star TV, Hakupitwa Dancer No 1 wa Mapacha 3 Dancer No 2 wa Mapacha 3 Dancer No 3 wa Mapacha 3 Mhariri wa Star TV Moses, akiwa na ndugu zake naye alikuwepo Mpiga solo mahiri wa Mapacha 3 Mpiga Rythm mahiri wa Mapacha 3 Mpiga Bass Gitaa mahiri wa mapacha 3 Mpiga Tumba mahiri wa mapacha 3 Mpiga Bass Gitaa mahiri wa Mapacha 3 Kundi zima la mapacha 3 Mashibiki hawakujivunga kusakata nyimbo za mapacha 3 ndani ya Gold Crest Mwanza Madansa wa Mapacha 3 wakikaribisha mashabiki wao kwenye moja ya nyimbo za Mapacha 3 Mapacha 3 wakishambulia jukwaa Shabiki No 1 wa Mapacha 3, Jose!!                                    Picha na habari ni kutoka  www.thebigtopten.blogspot.com

MAFURIKO YA DAR..............

UTATA mkubwa umegubika idadi halisi ya watu waliopoteza maisha kwenye mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam. Wakati serikali ya mkoa ikisisitiza kuwa idadi ya waliopoteza maisha ni 38, zipo taarifa kuwa idadi hiyo inafichwa na serikali kwa sababu isizopenda kuzitaja. Akizungumzia kuhusu suala hilo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadik, alisema idadi ya watu waliokufa mpaka jana kwa mujibu wa takwimu za serikali ni watu 38. Alisema kama kuna watu wanazo taarifa zaidi juu ya vifo vilivyosababishwa na mafuriko wazipeleke sehemu zinazohusika. “Hatuna sababu ya kuficha vifo vya watu, sisi tunatangaza idadi ya maiti tulizoziona si vinginevyo,” alisema. Aliongeza kuwa ni jukumu la kila mmoja kushirikiana na serikali kuwahudumia waathirika wa mafuriko hayo ambao mpaka sasa wamefikia 5,000. Wakati utata ukigubika juu ya maiti hizo, baadhi ya wananchi wa maeneo ya Jangwani wamelidokeza Tanzania Daima Jumapili, kuwa wameanza kusikia harufu za kuoza kwa vitu, na wameweka bayana kuw

CPWA ROCKS HHHHMMM...OFFICIAL VIDEO

Image

NORTH KOREAN LEADER KIM JONG ILL Il DIES AFTER HEART ATTACK

Image
The founder of the communist nation, Kim Jong Il had been in power since 1994 North Korea's enigmatic leader Kim Jong Il -- who, after succeeding his father 17 years ago, captained his poor, closed nation and antagonized its enemies -- is dead, state media reported Monday. Kim, 69, died at 8:30 a.m. Saturday, according to state media. A tearful broadcaster reported that Kim died due to "overwork" after "dedicating his life to the people." Kim suffered "great mental and physical strain" while on a train during a "field guidance tour," North Korea's state-run KCNA news agency reported. More specifically, the agency reported that Kim suffered a heart attack and couldn't be saved despite the use of "every possible first-aid measure." He had been treated for "cardiac and cerebrovascular diseases for a long period," KCNA noted. His funeral will be held December 28 and the national mourning period extends

KAFULILA ATIMULIWA NCCR-MAGEUZI

Chama  cha NCCR- Mageuzi kimemfukuza uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini,  David kafulia na wajumbe wengine sita akiwamo aliyekuwa mgombea urasi wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, Hashim Rungwe.Uamuzi huo ulitolewa kwenye kikao cha dharura  cha Halmashauri Kuu Nec ya chama hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa  Poroin jijini Dar es Salaam jana, ambao ulitawaliwa na vurugu mpaka polisi wakaitwa ili kuongeza ulinzi. Baada ya uamuzi huo kutolewa Kafulila alikwenda kupiga magoti mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia huku akibubujikwa machozi na kuomba radhi akisema: “Naomba radhi, nimekosa mnisamehe...” Baada ya hapo Mbatia alisimama na kumwombea msamaha  kwa wajumbe wa kikao hicho, lakini walikataa na kumweleza (Mbatia) kuwa akisamehewa watarudisha kadi zao za uanachama.“Hatutaki , Kafulila hatufai anakiharibu chama na akisamehewa  sisi tutarudisha kadi zetu za uanachama ili ubaki naye kwenye chama...,” walisikia wajumbe  hao wakisema kwa sauti ya juu.Wan
Image
SUNGU NA VINEGA WENZIE KUNUKISHA ANTI VIRUS A-TOWN Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, ameweka kambi ndani ya A-Town pamoja na Vinega wote, wakifanya harakati za nguvu, kuwahamasisha wananchi wajae kwa wingi Uwanja wa Triple A ambako shoo kali ya Hip Hop itachukua nafasi Desemba 18, 2011 (Jumapili hii). Sugu amesema kuwa yupo kwenye mishemishe kibao, akifanya ‘interview’ kutoka redio moja hadi nyingine za Arusha, kutengeneza uelewa kwa wana wa Arusha kuhusu harakati za Anti Virus zinavyolenga kumkomboa msanii wa Tanzania.Ni Venega wale wale wanaosababisha kizaazaa mtaani kwa mix-tape zao za Anti Virus kisha wakaibua mambo makubwa kwenye Tamasha la Burudani kwa Mashabiki, Muziki unalipa Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama, Dar es Salaam. Taarifa ni kwamba shoo hiyo ya Triple A, itaanza saa 8:00 mchana mpaka saa 6:00 usiku.Sugu ndiye ataongoza shoo hiyo, wakongwe Mabaga Fresh, Big Dog Pose, Hardmad, Zay B na Sister P, wa

KUTOKA SAUT:COLLAGE BARAZA YAFANYIKA

Kutoka chuo kikuu cha Mt.Augustine,leo imefanyika collage baraza ambapo imewakutanisha Makamu mkuu wa chuo (VC Charles Kitima), Dean Of Students (mama Nasania), Corporate counsel, serikali ya wanafunzi (SAUTSO) pamoja na wanafunzi wa chuo cha SAUT kwa pamoja kwa ajili ya kuzungumzia kero mbalimbali ambazo zinawakabili wanafunzi wawapo ndani na nje ya chuo,mengi yamesemwa na wanafunzi na kutolewa ufafanuzi na Makamu mkuu wa chuo. Yafuatayo ndio yaliweza kutolewa ufafafanuzi na makamu mkuu wa chuo. 1.        Swala la ulinzi hafifu ndani na nje ya chuo ,Makamu mkuu wa chuo ametoa ufafanuzi kuwa swala hilo limeshafika chini ya uongozi wake na wanalifanyia kazi hasa kwa kuboresha kampuni ya ulinzi iliyopo chuoni kwa kuongeza idadi ya walinzi wengi wa kufanya patrol kila wakati,pia swala la kujenga kituo cha polisi eneo la Nsumba amesema kuwa “Hakuna haja ya kujenga kituo cha polisi Nsumba kwa sababu polisi wa

THE EDUCATION OFFERED IN DEVELOPING COUNTRIES (TZ INCLUDED) IS SUFFERING FROM NARRATION SICKNESS. IS IT TRUE?

MPAGAZE TIMES......ENDELEA KUPATA MAKALA ZA MHADHILI MPAGAZE KUTOKA CHUO KIKUU CHA MT.AUGUSTINO Instead of building the capacity of solving problem confronting their societies, education in Tanzania and African in general has been for decades used as an instrument of oppression.  Do you know why? If you happen to read the book by Paulo Freire, “Pedagogy of the Oppressed” although reading is not our culture, you will overtly see how the education has become an instrument of oppression. Oppression in the sense that, our education system is suffering from narration sickness. The teacher narrates and the students receive without questioning. Freire says; The outstanding characteristic of narrative education then is the sonority of words, not their transforming power. Four times four is sixteen; the Capital of Para is Belen”. The student records, memorizes and repeats these phrases without perceiving what four time four really means, or realizing the true significance of cap

CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM CHAFUKUZA WANAFUNZI 43.

Image
Askari wakikabiliana na mwanafunzi huyu wa kike kwenye yaliyotoke mwezi 11, 2011, Maandamano yaliyopelekea wanafunzi 43 wa UDSM kufukuzwa Chuo. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimewafukuza wanafunzi 43 na kuendelea kufuatilia nyendo za wengine tisa, baada ya kubainika kuwa walihusika katika matukio mbalimbali ya vurugu na uhalifu chuoni hapo. Kati ya wanafunzi hao, wanane walikuwa wamesimashiwa masomo kwa muda wa miezi tisa na 35 walisimamishwa ili kusubiri kumalizika kwa kesi zao zilizopo mahakamani. Uamuzi huo umekuja ikiwa zimepita siku mbili tangu baadhi ya wanafunzi chuoni hapo, kuvamia jengo la Ofisi za utawala la chuo hicho na kuwazuia maofisa na wafanyakazi wa chuo kutoka au kuingia ndani, hadi watakapoletewa taarifa za pesa zao kutoka Bodi ya Mikopo(TCU). Wanafunzi hao waliokuwa wanaendeleza mgomo wao ulioanza Jumatatu wiki hii wakidai taarifa za kwa nini pesa zao zinachelewa wakati bodi ya mikopo, ilishasema wamezileta chuoni hap

HAPPY BIRTHDAY DAVID LYIMO

Image
Wish all da best in ur life bro........... A birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun. Enjoy the trip.

Msimamo wa John Mnyika kuhusu suala la posho

Kufuatia habari tarehe 28 Novemba kuhusu ‘kupanda kimya kimya kwa posho za wabunge kwa zaidi ya asilimia 150’ tarehe 29 Novemba 2011 nilitoa kauli yangu kama mbunge na katibu wa wabunge wa CHADEMA kuhusu suala husika. Katika kauli hiyo nilieleza kuwa: “ Wabunge wa CHADEMA hatujapokea taarifa rasmi kwamba masharti ya kazi ya ubunge yamebadilika na kwamba viwango vya posho vimeongezwa. Wala kamati ya wabunge wa CHADEMA haijawahi kuridhia ongezeko lolote la posho ya vikao (sitting allowance) kwa wabunge. Napenda kutumia fursa kusisitiza msimamo wetu wa kutaka posho za vikao (sitting allowance) ziweze kufutwa kwa wabunge na katika mfumo mzima wa malipo ya wakati wa kazi miongoni mwa watumishi wa umma”. Hivyo, kama mbunge na katibu wa wabunge wa CHADEMA nilitoa mwito kwa Rais Jakaya Kikwete kwa niaba ya Serikali na Spika Anna Makinda kwa niaba ya Bunge kutoa kauli kuhusu suala hili ili kuondoa hisia zinazojengeka kwamba ‘wabunge wote tumekaa bungeni na kukubaliana kujiongezea