CHAMA CHA WANAFUNZI WANAOSOMA UHUSIANO WA UMMA NA MASOKO (SSPRA) WAFANYA SEMINA JUU YA MATUMIZI YA MTANDAO .

Mkuu wangu wa kamati ya Uhusiano wa vyombo vya habari na Publication Bw. Francy Moses akiwasilisha mada yake ya juu ya kutumia mtandao na kufanya design ya publication mbalimbali.

ME mwenyewe Nyanja kelvin Poti ambaye ni katibu mkuu wa kamati ya media relations and Publication ya SSPRA nikitoa mada juu ya maswala mazima ya mitandao wa internet na matumizi yake katika tasnia ya watu wa Mahusiano ya umma na Masoko.
Comments
Post a Comment