Posts

Showing posts from April, 2013

REDDS MISS NYAMAGANA 2013 MWANZA KUFANYIKA TAREHE 11/05

Image
Kumekucha....Redds Miss Nyamagana 2013 mchakato umeanza...shindano kufanyika Jumamosi ya tarehe...11/05/2013 JB Belmont Hotel Mwanza..Show nzima Itasimamiwa na mchekeshaji Zembwela..huku burudani ikikamilishwa na Recho kutoka THT.... Warembo Zaidi ya 20 watapanda jukwani... wakiwa na hamu sio tu kulichukua taji la Miss Nyamagana lakini pia Taji la Miss Tanzania 2013/14. Tiketi zitauzwa mapema, wahi tiketi yako..

NAFASI ZA MAFUNZO YA KILIMO NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA

BOFYA HAPA CHINI KUFUPATA MAELEKEZO KAMILI NAFASI ZA MASOMO YA KILIMO MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30.06.2013 SOURCE: http: // www.agriculture.go.tz

UMESOMA VICHWA VYA MAGAZETI LEO APRIL,29 SOMA HAPA

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

TOA SUPPORTT KWA MTAMADUNI DEEY CLASSIC KATIKA TUZO ZA PRODUCER BORA CHIPUKIZI

Image
Tumsupport Mtamaduni Deey Classic kateuliwa kwenye kuwania Tuzo kama producer bora... Tumsupport Mtamaduni Deey Classic kateuliwa kwenye kuwania Tuzo kama producer bora...

Je umeiona picha ya kim kardashian hii hapa

Image

Godbless Lema aachiwa kwa dhamana

Breaking News:Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Arusha asubuhi hii.Lema alikamatwa kwa amri ya mkuu wa mkoa wa Arusha Alhamis usiku kwa tuhuma za kuchochea wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha(IAA)kufanya fujo baada ya mwenzao kuuawa.

GM MICROFINANCE COMING SOON IN MWANZA

Image
Iwe mkazi wa Mwanza ambaye unatafuta mkopo katika kujiendeleza kibiashara,au kwa malengo mengine basi GM Microfinance ndio Mkombozi wako wewe mkazi wa kanda ya ziwa. Mkopo ndani ya Lisaa limoja iwapo mkopaji atakua na vigezo vinavyostahili.  Kwa mawasiliano zaidi Piga 0718-791351

EMPOWERING PEOPLE 2 EMPOWER OTHERS

Image

Malisa Godlisten AFUNGUKA JUU YA MAUAJI YA HENRY KAGO WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA, SERIKALI IWAJIBIKE.!

KUTOKA KATIKA FACEBOOK WALL YA ALIYEKUWA RAIS WA CHUO CHA SAUT Malisa Godlisten AFUNGUKA Kwanza kabisa, natoa pole za dhati kwa familia, ndugu jamaa, marafiki na jumuia yote ya chuo cha uhasibu Arusha (IAA) kwa kifo cha mwanafunzi Henry Kago aliyefariki juzi usiku kwenye tukio la kutisha na kuhuzunisha, kwa kuchomwa visu shingoni. Mungu awapatie faraja na utulivu katika kipindi hiki kigumu. Lakini kuna mambo lazima tuyaseme kama tuna nia ya kujali maisha ya wanafunzi waliopo vyuo vya elimu ya juu. Kwanza hali ya usalama ktk vyuo vingi ni mbovu sana. Matukio ya kuvamiwa, kubakwa, kuteswa, kuporwa na hata kuuawa kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu imekuwa jambo la kawaida, na yanaripotiwa kila siku. Lakini serikali haichukui hatua as if mambo hayo yanatokea Dubai. Serikali imeshindwa kutoa msaada wowote badala yake wanakuwa mstari wa mbele kuattack wanafunzi wanapodai haki yao ya ulinzi. Pale chuo cha St.John aliuawa mwanafunzi mmoja akiwa ametoka chuoni k

ALBUM YA KALA JEREMIAH -PASAKA KUZINDULIWA LEO NDANI YA VILLA PARK

Image
Kala jeremiah wrote:   MWANZA KWANZA UZINDUZI WA ALBUM YANGU YA PASAKA YENYE JUMLA YA NYIMBO 23 UTAFANYIKA LEO IJUMAA JIJINI MWANZA TAREHE 26 MWEZI WA 4 NDANI YA UKUMBI WA VILLA PARK KWA KIINGILIO CHA TSH 5000/= TU.  PIA ALBUM ITAUZWA KWA TSH 5000/=. KARIBUNI SANA WASANII KIBAO WA MWANZA WATASINDIKIZA. BILA KUMSAHAU RAIS WA MATEJA KITALE. NA MWANADADA DAYNA NYANGE WA NIVUTE KWAKO. BONGE LA SHOW NITACHANA NGOMA ZOOTE UNAZOZIJUA...  

PICHA ZA WASANII WALIOSHIRIKI KATIKA KUFANYA USAFI KATIKA MAKUBURI YA MV.BUKOBA JIJINI MWANZA HIZI HAPA

Image
NA ALBERT G. SENGO: Wasanii wa muziki wa Nyumbani (Bongo Fleva) Kala Jeremiah, H. Baba, Kitale na mwanadada Dyna leo wameshiriki zoezi la kusafisha mazingira ya makaburi ya watu waliofariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwa meli ya Mv. Bukoba, makaburi yaliyoko Igoma nje kidogo ya jiji la Mwanza. Zoezi hilo limekuja mara baada ya mmoja kati ya wasanii hao (H. Baba) kupita katika eneo hilo na kujionea hali mbaya ya mazingira ndipo alipochukuwa jukumu la kuwasilisha taarifa hiyo kwa wasanii wenzake ambapo uungwaji mkono ulikuwa wa asilimia mia moja. Mapema leo shughuli za usafi zilianza kushika kasi, zoezi ambalo liliwachukuwa takribani masaa manne kumalizika likuwa gumu kutokana na magugu na nyasi nyingi kumea kwenye eneo hilo la makaburi kiasi cha kuwasababisha wasanii hao kuongeza zana zaidi za usafi ili kuweza kufikia lengo lao source www.gsengo.blogspot.com