Godbless Lema aachiwa kwa dhamana

Breaking News:Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Arusha asubuhi hii.Lema alikamatwa kwa amri ya mkuu wa mkoa wa Arusha Alhamis usiku kwa tuhuma za kuchochea wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha(IAA)kufanya fujo baada ya mwenzao kuuawa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA