Posts

TAKUKURU YAMFIKISHA ALIYEKUWA MHANDISI BUNDA MAHAKAMANI

Na Shomari Binda Musoma, Taasisi ya kuzui na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mara imemfikisha Mahakamani Christopher Nyandiga aliyekuwa Mhandisi wa Halimashauri ya Wilaya ya Bunda ambaye kwa sasa amehamishiwa Wilaya ya Ludewa kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajili kinyume cha kifungu cha 22 cha Sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa namba 11 ya mwaka 2007. Katika taarifa yake kwa vyombo vya Habari,Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mara Yustina Chagaka ilisema kutokana na uganganyifu huo ameisababishia Serikali hasara ya jumla ya shilingi za Kitanzania milioni ishirini na nne (24,000,000) kinyume cha kifungu cha 10(1) cha jedwali la kwanza pamoja na vifungu vya 57(1) na 60(2) vya Sheria ya Uhujumu Uchumi namba 200 iliyofanyiwa mapitio Mwaka 2002. Alisema baada ya Uchunguzi uliofanywa na TAKUKURU ulibaini kampuni inayomilikiwa na mtuhumiwa huyo iitwayo MBULLY ENTERPRISES AND CIVIL WORK ilipewa zabuni na Halimashauri na Wilaya ya

Ushauri wa Ziro kuhusu medali za Ulimbiki (Olimpiki)

Image
 

CHEKI KICHUPA KIPYA CHA MALFRED- My Desire

Image

TUSIWAUMIZE WENZETU KWA KUWAVISHA PETE ZA UCHUMBA

Siku mbili zilizopita nilipata message kutoka kwa rafiki yangu ambaye  ni msichana...kiukweli nilipatwa na kigugumizi cha mikono ni kwa jinsi gani nitaweza kumshauri kwa kupitia ujumbe mfupi wa mkononi yaani sms aweze kuona kwamba swala lililomtokea ni la kawaida kwa maana kwamba binadamu tumeumbiwa matatizo na ni jukumu letu kupambana nayo mpaka kupata suluhisho la matatizo hayo. Story ilikuwa hivi,dada huyu ambaye ndio rafiki yangu alinitumia message akiniambia kuwa miezi 2 iliyopita amevalishwa pete ya ndoa na mchumba wake, sasa cha kushangaza ni kwamba wamekuwa katika mahusiano na mchumba wake huyo kwa muda wa miaka 2 bila binti kujua lolote kuwa mchumba wake alishazaa na mwanamke mwingine japokuwa  binti alisha muuliza mchumba wake huyo kama ana mtoto lakini jamaa alikuwa akipinga vikali kuwa hajawai na wala hana hata wa kusingiziwa, jibu ambalo lilikuwa lkimfurahisha dada huyu na pia kuambiwa kuwa yuko peke yake  hana mahusiano mengine ya nje. Utamu wenyewe wa stor

GHARAMA ZA MATIBABU VYUONI NI MRADI WA VYUO HUSIKA?

MAKALA HII IMEANDALIWA NA  ANTHONIUS CLEMENT Mwanafunzi wa chuo kikuu cha mt.Augustino anayesomea shahada ya mahusiano ya Umma na Masoko mwaka wa pili. Email: tonyboy1989@yahoo.com Mobile: + 255 717437729 /+255762 963674 Wengi wetu tunafahamu   juu ya umuhimu wa Afya katika jamii yoyote ile. Jamii yenye Afya bora ndiyo yenye maendeleo makubwa kijamii na hata kiuchumi. Nakatika   suala hili siwezi kusita kumzungumzia mwanazuoni   anayea julikana   kama Vans Parkard mwanazuoni huyu wa saikolojia na masomo ya sayansi ya jamii na hasa mawasiliano aliweza kuanisha mahitaji makuu nane ya mwanadamu, Moja ya hitaji hilo ni hitaji la kuishi muda murefu (Imotarity needs) .   Hitaji hili ndilo linalo wafanya watu wahangaike kwa muda mrefu waki jipodoa ilimradi tu waonekane bado vijana wabichi. Mwaka mmoja nanusu uliopita Watanzania tuliweza kushuhudia wananchi wengi wakifurika katika kitongoji cha Semunge huko Loliondo alimaarufu “ kwenye kikombe cha babu” hii inadhirisha um

TANZANIA MUSIC FESTIVAL COMMING SOON

Image

ATHARI ZA KUJITOA KATIKA FAO LA UZEENI

Makala hii imejumuisha mawazo ya wale wote waliochangia kwenye hoja ya haja juu ya dhana ya mifuko ya hifadhi ya jamii, niliyoiweka kwenye blog hii tarehe 31.07.2012. Asante kwa mawazo ya kujenga na kwa paomoja tuijenge Tanzania yetu. Natumaini tunaweza kukubaliana kuwa sera yoyote hupimwa ufanisi wake kwa kuzingatia inatekelezwaje mkabala na mahitaji ya uanzishwaji wake.Hakuna sera isiyokuwa na lengo, lengo likitimia ndipo tunapoweza kubaini   kuwa sera imefaulu au imeshindwa. Dhana na lengo la mifuko ya hifadhi ya jamii ni kuwakinga wananchi ( wafanyakazi wa umma, binafsi, walioajiliwa na waliojiajili ) dhidi ya matukio yasiyo tarajiwa   maana ambayo ni bayana. Lakini tukumbuke kuwa, neno “ jamii ” katika sera hii linatuvuta kuangaliazaidi ya mteja wa mifuko ya hifadhi ya jamii, lakini pia watu na taasisi zinazowazunguka ambazo   kwa njia moja au nyingine huweza kuathiriwa na matendo ya mteja   wa mifuko ya hifadhi ya jamii, hii ndio maana mifuko mingi ya hifadhi ya jamii huto

MAKALA MAALUM KUTOKA KWA MDAU KUHUSU MIFUKO YA JAMII

IMEANDALIWA NA Davis Muzahula , Mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya sheria (mwaka wa nne), Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania Simu: +255756829416 Barua pepe: davismuzahula@yahoo.com UTANGULIZI Kwa mujibu wa Shirika la Kazi Duniani, Mfuko wa hifadhi ya jamii ni mfumo ambao jamii husika imejiwekea kwa lengo la kuwakinga watumishi wa umma au binafsi ( waajiriwa ) dhidi ya matukio yasiyotarajiwa ( Contingencies ). Matukio hayo ni kama maradhi, ulemavu, kupoteza kazi, kuacha kazi kwa sababu ya uzee ( kustaafu ) aidha kwa hiari au kwa lazima, na mengineyo ikiwamo huduma za matibabu, ghalama za msiba ikiwa mteja atafariki au kufiwa na mtu ambaye mfuko husika huchangia. Vile vile iwapo mteja atafariki kabla ya kustaafu basi mafao yake hulipwa kwa warithi wake ambavyo huweza kusaidia kusomesha watoto wa mhusika.   Hifadhi kutoka kwa jamii ni haki ya kila mtu kama ilivyotajwa na katiba ya jamhuri ya Muungao wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiw

TAARIFA RASMI KUTOKA KWA RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI SAUTSO

KUTOKA KWA RAIS WA SAUTSO MH.MALISA GODLISTEN   Kwa takribani wiki mbili sasa imekuwepo hali ya sintofahamu kuhusiana na fedha za Field na baadhi ya watu wameanza kupika taarifa za uongo na uzushi ili kupotosha kwa makusudi. Ukweli ni kuwa sisi kama serikali tumejitahidi kwa kadri ya uwezo wetu kuhakikisha fedha hizo zinapatikana kwa wakati. Tar 3 hadi 5 mwezi huu nilikuwa Bodi kufuatilia fedha hizo. Ikumbukwe ilikuwa ni siku moja tu baada ya kumaliza mitihani. Nilifanya hivyo ili kuepusha usumbufu ambao ungeweza kujitokeza baadae. Lakini Bodi hawakuwa na hela hivyo wakahidi kutupatia fedha hizo mara tu watakapopokea kutoka Hazina. Tukaendelea kuwasiliana na Bodi ambao waliendelea kudai hawana fedha. Kufikia tar.19/07/2012 nikiongozana na waziri wa mikopo tukalazimika kwenda Bodi kwa dharura. Lakini hata baada ya kufika bodi jibu lilikuwa ni lilelile kuwa hawana fedha. Lakini mbaya zaidi hatukuwemo kwenye list ya vyuo vilivyopaswa kulipwa mwezi huu. So kwa

WALIMU WASHINIKIZA KUGOMA MKOANI MARA HAPO KESHO

Shomari Binda, Musoma Chama cha walimu (CWT) Mkoa wa Mara kimewasihii walimu kutohadaika na kauli ya Serikali ya lkuwataka kutokugoma kwani haki zao bila kuchua hatua hutua hiyo hazitatimizwa kwa wakati. CWT imesema upatikanaji wa maslahi bora ya kazi yatapatikana kwa kushirikiana katika mgomo utakaoanza kesho ili Serikali ione umuhimu wa madai yao ambayo wamekuwa wakiyadai kwa muda mrefu sasa bila kupatiwa ufumbuzi. Katibu wa CWT Mkoa wa Mara Fatuma Bakari amesema walimu wasiwe waoga kutetea haki zao kwani mgomo huo huko kisheria na kinachofanywa na Serikali ni vitisho kwao ambavyo amesema havina msingi. Bakari amewakumbusha walimu kuwa madai yao ya maslahi bora ni ya muda mrefu huku akihituhumu Serikali kuendelea kuyapuuzia na kuwafanya kuishi maisha duni na kifukara licha ya kufanya kazi kubwa nayakujituma. Uchunguzi uliofanywa na BINDA NEWS Mjini Musoma umeonyesha kuwa mgomo huo hupo kesho na walimu wengi wamenukuliwa wakisema wako tayar

JITAHADHARISHE NA VOCHA ZILIZOTUMIKA

Image
Kuna njia mpya unatumika na vibaka na wezi wa magari kutoweka kwenye mkono wa sheria kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha zilizotuma pindi wanapotelekeza gari au kutupa miili ya watu waliokufa na kuacha vocha hizo zilizotumika kwenye tukio. Polisi wakifika eneo la tukio wanatumia namba za hizo vocha kusaka namba ya simu yamtumiaji wa hiyo vocha. Tayari watu wawili wameshikiliwa keko wameathirika na huu udanganyifu. Tafadhali hakikisha umeharibu vocha yako baada ya kutumia ili nawe usipatwe na janga hili.   Taarifu habari hii na marafiki zako source www.freebongo.blogspot.com

MAGAZETI YA LEO JULY 29

Image
. . . . . . . . . . . . . . . .