Nahodha wa Yanga, Nidir Haroub 'Canavaro' akiwa amenyanyua kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara pamoja na wachezaji wenzake. Beki wa Simba, Musa Mudde (kushoto) akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo. Kikosi cha Simba. Makocha wa yanga wakipanga mikakati ya Ushindi. Timu zikiingia uwanjani. Beki wa Simba, Shomari Kapombe akimtoka mshambuliji wa Yanga, Simon Msuva Msanii Juma Nature akitumbuiza wakati wa mchezo huo. Mashabiki wa Yanga . Raha ya ushindi. Kocha wa Yanga, Ernst Brandts akiwa amebebwa na wachezaji wake. Mashabiki wa Yanga. Kipa wa Simba, Juma Kaseja akijaribu bila mafanikio kuokoa mpira wa kichwa uliopigwa na mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu katika mchezo wa kufunga pazia la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofan