LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 17 YA KUZAMA MV.BUKOBA

Mei 21,1996 katika ziwa Victoria,Mwanza Tanzania meli ya Mv Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha yao.Meli ilizama kilomita 30 kukaribia kutua nanga kwenye bandari ya
mwanza ikitokea Bukoba. Meli ikuwa na uwezo wa kubeba idadi ya watu 430. Kwenye first and second class orodha ya abiria ilikuwa 443 na kwenye third class hakukuwepo rekodi yoyote .Takribani 1000 walifariki kwenye ajali hiyo


MUNGU AZIWEKE ROHO ZA MAREHEMU WOTE MAHALA PEMA PEPONI,NA PIA MUNGU AWAPE NGUVU WOTE AMBAO WALIPOTEZA NDUGU ZAO KATIKA AJALI HIYO.


ASANTE KWA MDAU Petter Isuti Mioyo KWA KUTUKUMBUSHA KUPITIA ACCOUNT YAKE YA FACEBOOK

Comments

  1. I think everything posted made a ton of sense.
    However, what about this? what if you were to write a killer headline?
    I ain't suggesting your content is not good, however suppose you added a headline to maybe get folk's
    attention? I mean "LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 17 YA KUZAMA MV.BUKOBA"
    is a little boring. You should glance at Yahoo's home page and watch how they write post titles to get people interested. You might add a video or a picture or two to get readers interested about what you've
    written. In my opinion, it might bring your posts
    a little livelier.

    my web blog ... book of raw online spielen

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA