HUSSEIN MACHOZI IS BACK WITH ZA MWIZI 40
Track Name: ZA MWIZI 40 Singer: HUSSEIN MACHOZI Produced by: AMBA & KID BWOY Composed by: HUSSEIN MACHOZI arranged by: HUSSEIN MACHOZI & KID BWOY Mixed by: KID BWOY Studio: TETEMESHA RECORDZ / AB RECORDS ZA MWIZI LYRICS VERSE-1 Nilipokufata mara ya kwanza nilikwambia "I got no money", jibu lako toka moyoni mwako ukasema "its okey", Nilipokufata mara ya kwanza nilikwambia "I got no money", jibu lako toka moyoni mwako ukasema "its okey", Nilidhani nimepata kumbe nimepotea njia, nikienda kazini night kumbe ndo yako tabiaaa, kosaaaa, la kwangu mwenyeweeee, kumweka chui kwenye zizi la mbuziiiiii, CHORUS Kwa kinywa chako ulisema unanipenda unanithaminiiiiii, Ona sasa umeumbuka na umefanya niniiiiii, Hii jeans ya naniiii? ahaaaa, Hii shati ya naniiii? Hii buti ya naniiiiii? ahaaaa, Na hii simu ya naniiii? VERSE-2 Haya sasa chagua nikupe adhabu ganiiii, ohoooo hakuna forgiveness huruma wala niniiii, heieiei Haya sasa chagua nikupe adhabu ganiiii,...