MTOTO WA SINGIDA ANAYEIENDESHA DAR


Msanii wa bongo fleva anayefanya vizuri kwa kila track atakayoitoa na hivi sasa anatesa na wimbo wake mpya unaoitwa I RUN DSM (MTOTO WA SINGIDA) anajulikana kwa jina la Cyrill ameongea na Bongo Star Link na kusema yuko kwenye maandalizi ya video yake mpya ambayo wimbo wake utakuwa wa love song na anamalizia track za album yake.
Na amesema kundi lake linalojulikana kwa jina la WAKACHA lipo kwenye final touches kwa kuibua wimbo wao mpya ambao umetengenezwa katika studio za Fishcrab kwa Producer Lamar.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA