"RAINBOW TRAINING COLLEGE"

Chuo cha Rainbow Training college kinawatangazia nafasi za masomo kwa kozi zifuatazo


  • ENGLISH COURSE
  1. Beginner course- 2 months
  2. intermediate level 1-2 months
  3. intermidiate level 2- 2 months
  4. pre-advance-2 months
  5. Advanced- 2 months
COMPUTER APPLICATION PROGRAMS

  1. Introduction to computer with DOS
  2. microsoft office application(word,Excel,Access,Power Point,Publisher)
  3. Adobe Pagemaker
  4. Adobe Photo shop
  5. Corel draw
  6. Computerized Accounting using Tally
  7. Computerized Accounting using MYOB
  8. Quark Express Passport
  9. Internet and E-mail and many more
ADULT SECONDARY EDUCATION
QT- (FORM ONE AND TWO) KWA MWAKA MMOJA SHILINGI 250,000 INAJUMLISHA NA ADA YA MTIHANI.

FORM FOUR RE-SETTERS-pia nafasi zinapatikana kwa masomo ya sanaa (Arts)

wahi nafasi bado zipo,wanapatikana Kinondoni studio karibu na Hostel za vijana wapigie simu no 0787-528818/ 0713-033015 kwa maelezo zaidi karibuni sana

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA