Posts

Showing posts from March, 2010

MIAMBA YA SOKA UWAJANI LEO KATI YA MANCHESTER UNITED V/S BAYERN MUNICH

Image
kikosi cha Manchester United kikosi cha Bayern Munich Ile mechi ya kusisimua kati ya Manchester United kutoka Uingereza na Bayern Munich kutoka German leo itafungua hisia mpya kutoka kwa wapenda soka pande zote za dunia kuona nani atakuwa mbabe!katika kinyang'anyiro cha kuelekea fainali za UEFA,matokeo sina dakika 90 ndio zitaonyesha nani mbabe zaidi ya mwenzake.............lakini si mnajua mimi ni fans wa timu gani....nenda kwenye facebook uone......! chini ni orodha ya mabingwa wa (UEFA)tangu mwaka 1955 mpaka 2009 1955-56 Real Madrid 1956-57 Real Madrid 1957-58 Real Madrid 1958-59 Real Madrid 1959-60 Real Madrid 1960-61 Benfica 1961-62 Benfica 1962-63 Milan 1963-64 Internazionale 1964-65 Internazionale 1965-66 Real Madrid 1966-67 Celtic 1967-68 Manchester U 1968-69 Milan 1969-70 Feyenoord 1970-71 Ajax 1971-72 Ajax 1972-73 Ajax 1973-74 Bayern Munich 1974-75 Bayern Munich 1975-76 Bayern Munich 1976-77 Liverpool 1977-78 Liverpool 1978-79 Nottingham F 1979-80 Nottingham F 1980-81 Li...

HAPPY BITHDAY PAULINA SHAO

Image
Wish you a lovely B'day my lovely friend, may the almighty Bless you ever...........
Image
Alain Robert ni raia wa Ufaransa ambaye anajulikana ulimwenguni kwa kupanda majengo marefu. Hivi karibuni alivunja record yake mwenyewe kwa kupanda Jengo refu kulko yote duniani la Burj huko dubai likiwa na urefu wa 828-metre (2,717-foot). Hata hivyo baada ya kupanda Alain alikaririwa na Reuters akisema kuwa haofii kufa kwani kupanda majengo marefu ni sehemu muhimu ya maisha kwake kama ilivyo kula au kuvuta pumzi, “My biggest fear is to waste my time on earth. For me, climbing is as important as eating and breathing. Climbing skyscrapers is my lifetime love and passion” Robert said. Robert kwa mara ya kwanza alipanda jengo la ghorofa nane akiwa na umri wa miaka 12 baada ya kusahau funguo zake huko, tangu hapo aliona kuwa huo ni sehemu ya mchezo wake na amesha wahi kupanda majengo zaidi ya 100 duniani likiwemo la Petronas Twin Towers la Malaysia mwaka jana. (Gonga hapa uisome). Mengine ni Taiwan’s Taipei 101 lenye ghorofa 101, mnara wa the Eiffel Tower huko Ufaransa France, the Empire S...

JINA LA HOTEL LA ZUA GUMZO

Katika pitiapitia ya magezeti yetu ya hapa Bongo,huko kahama mkoani Shinyanga mkuu wa Mkoa wa mkoa huo amekataa kuifungua Hotel kwa muda bada ya jina la hotel kuzua utata,jina la hoteli hiyo ambayo ni "PIRACY"kwa kimombo ambayo tafasili yake kwa kiswahili ni "Uharamia",baada ya mkurugenzi wa hoteli hiyo kuulizwa na mwadishi wa habari kwa nini waliamua kutumia neno ilo mkurugenzi alisema kuwa, aliyechagua jina hilo hajui kusoma na kuandika na yeye alipoulizwa alisema kuwa hata yeye pia hafahamu kusoma,swali linakuja sasa kama yeye ni mkurugezi ataiendesha vipi hotel hiyo? Wadau shusha comment zenu hapo chini

WOMEN BODYBUILDERS

Image
Hizi picha unazoziona ni baadhi ya wanawake maarufu duniani ambao wanajiusisha na mchezo wa kutunisha misuli mfano Amanda Dundar,just imagine ndo anakuwa wife.........!!!!!!!!

MAJINA YA WASANII AMBAO WATAPIGIWA KURA KATIKA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS

Wanaowania tuzo ya Mwimbaji bora wa kike. Lady Jaydee Mwasiti Almasi Maunda Zorro Vumilia Mwaipopo Khadija Yusuph wanaowania tunzo ya Mwimbaji bora wa kiume. Marlow Banana Zorro Mzee Yusuph Alikiba Christian Bella Wanaowania Albamu Bora ya Taarab Jahazi Modern Taarab (Daktari wa Mapenzi), 5 Stars Modern Taarab (Riziki Mwanzo wa Chuki), Coast Modern Taarab (Kukupenda Isiwe Tabu), New Zanzibar Star (Powa Mpenzi) East African Melody (Kila Mtu Kivyakevyake). Tunzo ya Wimbo Bora wa Taarab inawaniwa na Daktari wa Mapenzi’ na ‘Roho Mbaya Haijengi’ (zote Jahazi Modern Taarab), ‘Wapambe Msitujadili’, ‘Riziki Mwanzo wa Chuki’ (zote 5 Stars Modern Taarab) na ‘Kukupenda Isiwe Tabu’ (Coast Modern Taarab). Tunzo ya Wimbo Bora wa Mwaka inawaniwa na Marlow ‘Pii Pii-Missing my Baby Diamond (Kamwambie) Banana Zorro (Zoba) Hussein Machozi (Kwa Ajili Yako). Tunzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili kwa upande wa bendi ni Machozi Band (Nilizama), African Stars Band-Twanga Pepeta (Mwana Dar es Salaam), Top Band (Ash...

HATARI TUPU!

Image
Sina mengi ya kusema lakini mwanao akienda kusoma shule hii inakuwa vipi?

“MSILIE”-PROF.JAY Ft.CHID BENZ

Image
The Heavy-weight MC,Prof.Jay.anakuja na Wimbo unaitwa Msilie akiwa amemshirikisha mkali mwingine wa hip hop nchini Tanzania,Chid Benz.Wimbo umetengenezwa na producer ambaye amekuja juu kwa sana.Ni Lamar kutoka Fish Crab Records. Mambo kadhaa yamenifanya nikubali nyimbo za prof Kikubwa ni ujumbe uliomo ndani yake.Kama ambavyo ungetarajia kutoka kwa Prof.kwa kina anaangalia yale yanayojiri katika jamii.Anatoa hoja,anafafanua,anaelekeza.Msikilize yeye au vipi.......!

CALL FOR ACTION IN NORTH MARA GOLD MINE

Image
Dear Colleagues and partners, Greetings from North Mara in Tarime. I wish to share with you some photos of the current situation in North Mara. Rev. Magafu and I have been assessing and identifying the victims of the last year’s and ongoing waste ponds spillage at North Mara gold mine. New cases of the victims are coming up with symptoms that are vivid and the situation is alarming. Two cases, though, needs immediate medical attention and action. This involves Mama Otaigo from Weigita village and Paul (8 year old boy) from Nkerege village. The situation we have found them in is far different from when we met them during the health screening done in January 7th 2010. Their health state is deteriorating from day to day. I am attaching their current photos for your review. As the governments still remains silent on this matter attempts to get referral letters from government health facilities have proved abortive and therefore we need to act as soon as possible to save the lives of those ...

ONA MAMBO YA CHART ROOMS

Image
wale wapenzi wa kuchart unaona fix zinazofanyika daily! lol

BONGE LA TAMASHA PALE KATI VIWANJA VYA BIAFRA KINONDONI

Image
leo Jumamosi kutafanyika Bonge la Tamasha la cocacola katika viwanja vya Biafra Kinondoni,kuanzia mida ya saa nane mchana,kutakuwa na zawadi mbalimbali zitakazotolewa pale,jishindie tiketi ya kwenda South Africa kuungana na wapenzi wa soka duniani katika mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika nchini humo mwaka huu. "Picha hizo zinaonyesha harakati za kumalizia maandalizi leo asubuhi"

HAPPY BIRTHDAY BROWN

Image
Mtoto Brown Nyanja anafikisha miaka mitatu leo sherehe itafanyika nyumbani kwao maeneo ya kinondoni B,Nakutakia maisha mema na marefu

JERA SI MCHEZO

Image
CHECK OUT AFTER LIL WAYNE SENTENCED AKITOKA HUKO SIJUI HATAKUJA NA JIPYA GANI

MISHEMISHE NDANI YA JIJI PANDE ZA KARIAKOO

Image
pande hizi ni za kariakoo maeneo ya msimbazi nilikuwepo mida ya mchana,pande hizi watu hawakosekani kuna nyomi ya watu kama unabisha nenda saa nane usiku kariakoo na utakuta watu wanapiga mzigo kama kawaida!!!!

WASANII WA KIKE WANAHITAJIKA RJ COMPANY

Image
Wasanii wa kike wanahitajika kufika katika ofisi za RJ COMPANY zilizoko SINZA MORI kuanzia leo (jana) tarehe 17/3/2010 saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 12 jion kwa siku za jumatatu mpaka ijumaa. Jumamosi kuanzia saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 8 mchana.Lengo ni kuwapata wasanii wa kike ambao ni wapya katika tasnia ya filam nchini ili waje kushiriki katika filam mpya itakayoandaliwa na kampuni ya RJ.HAKUNA GHARAMA ZOZOTE ZILE WATAKAZOLIPISHWA KWANI KAMPUNI INAJITOSHELEZA. Narudia tena lengo letu ni kuwapata wasanii wapya katika tasnia ya filam nchini kwa hiyo kama unajihisi wewe ni mrembo basi kwa sasa tunatafuta wasanii wapya wa kike lengo ni kufuata maoni ya wadau kuwa wanataka watu wapya umri ni kuanzia miaka 18 mpaka 28 pia unaweza kututumia picha zako kabla ujaja ili tuweze kukuona jinsi ilivyo plz changamka uwe staa mpya wa kike kwa hisani ya michuzijr.blogspot.com

AFANDE SELE ATOA SOMO KWA WASANII WA BONGOFLEVA

Image
Muhimu ni kwa artist wa Bongofleva wenye majina kuwa tayari kukutana wote katika mikutano inayoendelea sasa ikiongozwa vyema na wasanii wenzetu ambao wameshalipia ada ya chama chetu BASATA na tayari mikutano inaendelea mara kwa mara japo mara nyingi wanaojitokeza ni artist wenzetu wakubwa kwa wadogo lakini si wale wanaoaminika kuwa na majina makubwa. Watambue kwamba wakati ndio huu wa sisi kutambulika kama wasanii ili tuweze kudai na kupata haki zetu tunazostahili toka katika vyanzo kibao vya michongo vilivyopo kwa ajili ya muziki wetu, vitu kama usambazaji, udhamini na mambo kibao ambayo leo yanakuja lakini wanachukua watu ambao kimsingi ndio wanaotutesa na kutunyima dili miaka yote. Rais alisema tumueleze shida zetu, wajanja wakasema eti shida yetu ni studio tu, wakati tuna matatizo kibao ya msingi ikiwemo sheria ya haki miliki katika katiba ilivyopitwa na wakati na mambo kibao yanayosabisha artist wakila bia mbili,tatu wanafulia!. Ila artist wa kibongo hasa wale wanaojitambua lazima...

cheki comedy katika soka

"Young Forever" Jay-Z | Mr. Hudson

PRAY TO ALMIGHTY GOD THAT U WILL BE AT DSM AND TANZANIA IN 2060

Image
kigamboni KIGOGO MANZESE TANGA MWANZA DAR ES SALAAM Hivi ndivyo itakuwa Tanzania mwaka 2060,roho isikuume coz unaweza ukawa haupo 1DAR ES SALAAM

TUWASAIDIE WAJASIRIAMALI WETU JAMANI

Image
Check out this new ride from kitaani,Tuwasapoti wabunifu wetu jamani

Jamani, ebu angalieni hii, hizi sheria bado zipo? ?

Image
huko somalia ukikamatwa na mke wa mtu inakuwa hivi,check picha hizo hapo chini

Kumbe beat ya BULLET Haikutengenezwa na Marco Chalii!!!!!!!!!

Image
picha ya stiggo akiwa studio na ya pili ni marco chalii soma hapa chini msg kutoka kwa stiggo ibrahim(S&S RECORDS) Hey what’s up everybody! I thought the Producers in Tanzania have improved a lot but I guess I was wrong! Two and Half years ago, I made a beat and named it Block Running, I sold it to one of the Label called Koch Entertainment of New York with an agreement that wherever this beat goes my name gotta be there as a beat maker of this beat. Two days ago I was shocked when one of my friends from Tanzania sent me a song with the same beat I made 2 and half yrs ago! And I didn’t hear my name on the track. All I heard is Marco Chali. So I called Koch Entertainment to ask what’s going on. Koch Entertainment management were so surprised to hear the news. So they told me to send the song to them and I did, they asked me if I ever sent the beat to MJ Records of Dar-es-salaam, Tanzania. I told them I never did but had put the beat on iTunes so people can buy and use it for promoti...

Hashim Thabeet seeks boost from D-League stay

Image
The plush surroundings of all those Ritz Carltons and Four Seasons have disappeared. These days, Hasheem Thabeet(notes) rests his head in a two-star motel in chilly Bismarck, N.D. Gone, too, are the charter flights and all the legroom they afforded. Eight months ago Thabeet was celebrating his selection as the second overall pick of the NBA draft. He now holds a new distinction: the highest pick ever to be sent to the NBA’s Development League. That’s not to say Thabeet has lost all his star power: In honor of his arrival, the Dakota Wizards discounted general-admission tickets for Wednesday’s game to $2. Related CoverageSlam-dunk apps for iPhone More From Marc J. SpearsBrand's starring role has faded with Sixers Feb 26, 2010 Hawks want Ilgauskas to soar with them Feb 22, 2010 Hasheem Thabeet (center) is the highest NBA draft pick to ever play in the D-League. (NBAE/ Getty Images) For Thabeet, the D-League is home, at least for a little bit, and he’s determined to make the best of...

HATA NA MIMI NIMO KWENYE MSAFARA

Image
KILIMANJARO MARATHON 2010 YAFANA Mzee huyu wa mika 67 kutoka mkoani Arusha, Ake Lingstone akimaliza mbio za kilomita 21 wakati wa Kukimbia Mbio za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro jana.Babu anaonyesha umuhimu wa mazoezi Picha kwa hisani ya Michuzi Blog