HATA NA MIMI NIMO KWENYE MSAFARA


KILIMANJARO MARATHON 2010 YAFANA
Mzee huyu wa mika 67 kutoka mkoani Arusha, Ake Lingstone akimaliza mbio za kilomita 21 wakati wa Kukimbia Mbio za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro jana.Babu anaonyesha umuhimu wa mazoezi




Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA