Posts
Showing posts from November, 2012
WANANCHI MARA WAILALAMIKIA SERIKALI KUTOWEKEZA KATIKA ELIMU YA JUU
- Get link
- X
- Other Apps
Na Mwandishi wa Mwana wa Afrika MUSOMA WANANCHI Mbalimbali mkoani Mara wameilalamikiaSerikali kwa kutowekeza katika elimu ya juu katika mkoa huu wa Kihistoria hapa nchini. Wakiongea kwa Nyakati tofauti na mwandishi wa habari hii,wananchi hao walisema kuwa msimu huu kwasasa ni msimu wa wanafunzi kumaliza Shahada zao na shahada za juu lakini kwa Mkoa wa Mara hakuna kitu kama hicho kinachoonekana hapa. Walisema kuwa kutokuwepo kwa vyuo vinavyotoa elimu ya Juu hapa MKoani Mara husababisha hata suala la Maendeleo linakuwa la kusuasua kutokana na eneo kubwa kutokuwa na Wasomi wa kutosha. “Kiukweli hili ni tatizo la Serikali kwani mkoa huu hakuna chuo kinachotoa Elimu ya Juu hivyo wasomi hakuna na kutokuwepo kwa Wasomi ni tabu maana Jamii itabaki katika mawazo Mgando” alisema Mzee Magesa John mtumishi mstaafu. Mzee Magesa alisema kuwa Mikoa mingi Tanzania yenye vyuo vinavyotoa Elimu ya juu imekuwa na Mwamko mkubwa wa Jamii katika suala la Maendeleo tofauti n
SWAHILI FASHION WEEK 2012 OFFICIALLY LAUNCHED
- Get link
- X
- Other Apps
Swahili Fashion Week, East and Central Africa largest fashion event, now in its fifth year, will be held at The Golden Tulip Hotel on the 6th, 7th and 8th December 2012 in Dar Es Salaam, Tanzania. Swahili Fashion Week 2012 will collectively bring together over 50 stakeholders from the fashion industry from Swahili speaking countries and beyond to showcase their creativity and forecast future fashion trends for the region. “This year we have grown tremendously as we have 23 established Tanzanian designers, and the rest from outside Tanzania, who will showcase their work on this platform apart from the 16 designers who showcased during the Nairobi showcase on October 6 in Kenya” stated Swahili Fashion Week Manager Washington Benbella In addition to the Fashion Show presentations, Swahili Fashion Week Shopping Festival which was incorporated in year 2010 will once again be the main feature bringing more than 30 exhibitors under one roof thus making it the largest shoppi
AY ANYAKUA TUZO YA CHANNEL O
- Get link
- X
- Other Apps
Juzi ilikuwa ni siku nzuri na kubwa sana kwa Watanzania na wana-East Africa Kwa Ujumla, maana Mtanzania Ambwene Yessaya shortly known as A.Y alinyakua tuzo hiyo kubwa sana Africa ikifahamika kama MOST GIFTED EAST AFRICAN VIDEO OF THE YEAR AWARD kutoka katika Tuzo kubwa Africa, nikimaanisha tuzo za Channel O yaani #CHOMVA kwa mwaka huu wa 2012. AY a.k.a "Mzee Wa Commercial" alichukua tuzo hiyo kupitia video yake ya I DON'T WANNA BE ALONE aliyowashirikisha wasaanii wa kundi kutoka kenya wanaofahamika kama SAUTI SOL. On top of that, AY aliibuka on stage na mshkaji wake wa karibu, (i bet you know him already) ambaye wametoka mbali wakiwa pamoja, niseme since the beginning of their game. YES! MwanaFA... these guys been supporting each other since day one. Big Up AY, Big Up Sauti Sol, Big Up Ogopa Video Productions... Its a real piece of work you guys had it together. Keep Working HARD, Yeah it pays. WE PROUD!!