Posts

Showing posts from March, 2013

JE UNATAKA PAMBA KALI ZA PASAKA ZINAPATIKANA DIVAS COLLECTION 2006 KINONDONI MUSLIM

Image
Karibu kwenye duka la DIVAS 2006 linalopatikana maeneo ya Secondary ya Kinondoni Muslim, kuna viwalo vipya kabisa kwa ajili ya pasaka kama Magauni,Blouse,Top,Mashati,T-shirts,suruali za kike za jeans na linen ,Mikoba, earing, viatu vya kila aina kwa kina dada na zile Snickers kali..... kwa maelezo zaidi wasiliana na dada Mary Mushi kwa namba 0715 494914 pia whatsup anapatikana kwa namba hiyo hiyo na  BBM PIN 26A8B4CB

MADIWANI CHADEMA WAGOMEA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI TARIME

Image
NA SHOMARI BINDA KUTOKA MUSOMA MADIWANI 16 wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamegomea kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo kwa ajili ya kushiriki kikao maalum cha Baraza la madiwani kwa ajili ya kumchagua makamu mwenyekiti kwa kile kilichoelezwa kupata maelekezo ya kugomea kutoka kwa viobgozi wa kitaifa wa Chama hicho. Akitoa maelezo kabla ya kufunguliwa kwa kikao hicho,Mkurugenzi wa Halimashauri hiyo Athman Akalama alisema amesikitishwa na kitendo cha madiwani hao kugomea kikao hicho kwa kuwa walikuwa na taarifa ya wiki moja lakini ghafla walikigome mapema kabla ya kuanza kwa kikao. Alisema kutokana na muongozo wa Tamisemi juu ya mabadiliko na uundwaji wa Halimashauri mbili katika Wilaya hiyo ili lazimika kufanyika mchakato wa kuandaa muongozo wa namna ya kuunda Halimashauri hizo na madiwani wa vyama vyote walishirikishwa tangu hatua ya kwanza. Akalama alisema mabadiliko hayo kutoka Tamisemi kuingiza Mamlaka ya Mji...

The Beat Down," Party Anthems".

Image
THIS FRIDAY @ Ambassadors Lounge It Is The "Good Friday" OTN (Own The Night) JiachiE pARTY Til Yu Drop,Party Ain't A PartY 'Till It's Ran All Through And Leave It To Ur N Everybody'z Crew,Miziki ya Pop,Dance,Naija,Kwaito Kwa Sana Mwendo Wa Kasi,Djs On The Set "Usual Suspects" Skillz_Dj Steve B,DJ bULLA N Dj Skit From Homeboys Kenya,cover Charge 10,000 Shs @ 9:00PM....lETS KeeP This Party JumpiN

DOWNLOAD HOTUBA NZIMA

HOTUBA YA RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI SAUT  DOWNLOAD HOTUBA NZIMA KWA CLICK  HAPO JUU, IKIFUNGUKA CLICK DOWNLOAD BUTTON  YA CHINI KABISA AMBAYO NI NDOGO SIO DOWNLOAD KUBWA YA JUU.

SOMA HOTUBA YA RAIS WA SAUTSO MH.MALISA ALIYOITOA WAKATI WA KUVUNJA BUNGE NA SERIKALI YA WANAFUNZI

Image
St. Augustine University of Tanzania Students’ Organisation President Office,  C/o St. Augustine University of Tanzania (SAUT), P.O. Box 307, Malimbe Campus, Nyegezi – Mwanza Region WEBSITE: www.sautsolink.blogspot.com HOTUBA YA RAIS WA SAUTSO 2012/13 ALIYOITOA WAKATI WA KUVUNJA BUNGE NA SERIKALI YA WANAFUNZI TAR.16/03/2013. Mhe.Spika, Mlezi wa wanafunzi, Makamu Mkuu wa chuo Fedha na Utawala, Mawaziri na wabunge, Itifaki imezingatiwa. Awali ya yote natoa shukrani za dhati kwa wanafunzi, wafanyakazi na utawala wa Chuo hiki kwa ushirikiano mkubwa mlionipatia kwa kipindi changu cha mwaka mmoja wa uongozi. Nimejifunza mengi ndani na nje ya nchi. Hakuna uongozi usio na changamoto lakini ukimtumainia Mungu atakushindia yote. Pili  nilishukuru bunge lako tukufu, mawaziri na viongozi kutoka utawala, waandishi wa habari na wadau wengine  kwa kujitokeza kwa wingi kuja kunisikiliza nikihutubia...

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MARCH,22

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA P-SQUARE FT LAGBAJA - UNLIMITED

Image
SIKILIZA WIMBO HAPO CHINI

Download nyimbo mpya ya Peter Msechu Ft. Joh Makini - Kumbe

DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA MATONYA- Sembule

MSAMA PROMOTIONS INAKULETEA TAMASHA LA PASAKA 2013

Image

THOMSON FOUNDATION YAWAPATIA MAFUNZO YA ELIMU YA MITANDAO YA JAMII MAAFISA WA MAWASILIANO SERIKALINI

Image
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kushoto) akizungumza na mkufunzi wa kozi fupi David Wiggins kutoka Stockport Uk ,katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO). Baadhi ya maafisa mawasiliano serikalini wakiwa katika mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii (kama, facebook. twitter, flickr, na blogs. Mafunzo hayo mafupi yanafundishwa na Thomson Foundation  chini ya Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maafisa mawasiliano serikalini wakiwa katika mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii (kama, facebook. twitter, flickr, na blogs. Mafunzo hayo mafupi yanafundishwa na Thomson Foundation  chini ya Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maafisa mawasiliano serikalini wakiwa katika mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii (kama, facebook. twitter, flickr, na blogs. Mafunzo hayo mafupi yanafundishwa na Thomson Foundation  chini ya Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam. Mkufunzi  David Wiggins akito...

PICHA ZA UZINDUZI WA KILI MUSIC AWARDS ULIOFANYIKA LEO

Image
Baraza la sanaa la Taifa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo wamezindua rasmi tuzo za muziki za Tanzania zijulikanazo zaidi kama Kili Music Awards. Mkurugenzi wa masoko wa TBL kushilla Thomas (katikati) na Kaimu Mkuu Mtendaji wa BASATA Godfrey L. Mngereza wakisaini mkataba mpya wa miaka mitano wa udhamini wa bia ya Kilimanjaro katika tuzo hizo Katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam bia ya Kilimanjaro ambayo ndio wadhamini wakuu wa tuzo hizo wamesaini mkataba wa miaka mitano na BASATA wa kuzidhamini ambapo zaidi ya shilingi bilioni 4 zitatumika kuziandaa kwa kipindi hicho. Tuzo za mwaka huu zitafanyika tarehe 8 June kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. “Lengo hasa la kusaani mkataba huu ni kuwahakikisha watanzania kuwa tutaendelea kuwapa tuzo hizi na tutaendelea kuzifanya kwa kusikiliza matakwa ya wadau wa sanaa ya muziki Tanzania wanataka nini ili sisi kama wadhamini kuhakikisha wanakipata kile wanachokitaka,” alisema Meneja wa Bia...