THOMSON FOUNDATION YAWAPATIA MAFUNZO YA ELIMU YA MITANDAO YA JAMII MAAFISA WA MAWASILIANO SERIKALINI





1-wakufunzi - CopyBaadhi ya maafisa mawasiliano serikalini wakiwa katika mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii (kama, facebook. twitter, flickr, na blogs. Mafunzo hayo mafupi yanafundishwa na Thomson Foundation  chini ya Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam.2- darasaniBaadhi ya maafisa mawasiliano serikalini wakiwa katika mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii (kama, facebook. twitter, flickr, na blogs. Mafunzo hayo mafupi yanafundishwa na Thomson Foundation  chini ya Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam.3-classBaadhi ya maafisa mawasiliano serikalini wakiwa katika mazoezi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii (kama, facebook. twitter, flickr, na blogs. Mafunzo hayo mafupi yanafundishwa na Thomson Foundation  chini ya Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam.5- mwl akifundishaMkufunzi  David Wiggins akitoa mafunzo kuhusu matumizi mbalimbali  ya mitandao ya kijamii kwa baadhi ya  maafisa mawasliano serikalini katika ukumbi wa MAELEZO jijini Dar es Salaam.6- mwl drasaniMkufunzi  David Wiggins akitoa mafunzo kuhusu matumizi mbalimbali  ya mitandao ya kijamii kwa baadhi ya  maafisa mawasliano serikalini katika ukumbi wa MAELEZO jijini Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA