KUMBUKUMBU: PUMZIKA KWA AMANI. MWALIMU JULIAS KAMBARAGE NYERERE



Imetimia miaka 14 tangu Baba wa taifa ili la Tanzania  Mwalimu Julias Kambarage Nyerere,alipofariki nchini Uingereza katika hospitali ya st. Thomas alipokuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiharusi na shinikizo la damu,
 katika kumbukumbu hii nawapatia video hii  uitizame na kuitafakari kwa kina kuwezasha ubongo wako kupata rutuba ya kufikiri.

Mwalimu ataendelea kukumbukwa kwa mengi ikiwemo upendo, mpinga rushwa,mchapa kazi,kiongozi hasiye mbinafsi, mpenda haki na sifa nyingi kemkem ambazo viongozi wa leo katika bara ili la Afrika wamezikosa.


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA