MAVETERANI WA PR MWAKA WA TATU MNATAKIWA KUFIKA MAZOEZINI

Maveterani wote wa PR 3 mnatakiwa kufika mazoezini kesho kuanzia saa 10 Jioni kwa ajili ya maandalizi ya mechi kati ya Maveterani na  timu ya darasa (PR 3) itakayofanyika siku ya JUMAPILI, tarehe 20/01/2013,  katika uwanja wa Nyegezi Seminary kuanzia saa 1 asubuhi.

FIKA KWENYE MAZOEZI BILA KUKOSA

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA