MEYA WA JIJI LA MWANZA ATEMBELEA HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA


Mstaiki meya wa jiji la Mwanza Mhe.Stanslaus Mabula na ujumbe wa kamati yake ya fedha wametembelea halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa maagizo ya Mhe.Waziri Mkuu kuja kujionea mbinu za kisasa za kukusanya mapato.



Mstaiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa amewakaribisha na kuwaeleza jinsi walivyoweza na wanavyoendelea kukusanya mapato.
Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilala zinaanzisha Udada.



WAHESHIMIWA WAKIMSIKILIZA MEYA WA MANISPAA YA ILALA MH.JERRY SILAA

MH.JERRY SILAA AKITOA UFAFANUZI  JUU YA UKUSANYAJI MAPATO

MH.JERRY SILAA KATIKATI AKIWA  PAMOJA NA AFSA HABARI WA JIJI LA MWANZA JOSEPH MLINZI(KUSHOTO) NA MH. STANSLAUS MABULA

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA